Maisha kivuruge..

Maisha kivuruge..

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
663
Reaction score
1,047
Ukitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. *Hii inaitwa muktadha*

Ukivaa gauni refu la kitenge kanisani unaonekana una maadili ila ukivaa gauni kama hilo club unaonekana mshamba... *Hii inaitwa utambuzi*

Ukinyoa para kama una hela unaonekana smart ila kama ni masikini unaonekana chokoraa.. *Hii inaitwa nguvu ya pesa*

*Wasalamu wapendwa
Mentor

Ohooo kumbe mi sio mentor
 
Back
Top Bottom