Maisha kupanda ni magumu ila yakishuka unaweza kusema jiwe limetoka mbinguni

Maisha kupanda ni magumu ila yakishuka unaweza kusema jiwe limetoka mbinguni

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Nimefukuzwa kazi usiku nikiwa ukumbIni na konyagi yangu alafu gari la ofisi wamelichukua bila kuambiwa hata kunibeep ila sikuwa na bando sababu mimi ndio mpandishaji wa vifurushi.

Kilichoniuma watu waliposikia nimeondolewa hata lift hawajanipa imeishia kupanda boda paka nyumbani ndio maana leo jioni nimeshindwa kwenda kucheza golf na gari la Serikali.

Nikipewa tena hakutakuwa na goli la mkono, kutakuwa na magoli ya lede pamoja VRA

KARIBUNI UGALI MAISHA NI GWARIDE
GTCw3KYbQAATkkl.jpg
 
Back
Top Bottom