Maisha magumu kwangu tu au tupo wengi?

Maisha magumu kwangu tu au tupo wengi?

Nafeel maumivu unayopitia coz nshakua muhanga wa hilo zaidi ya mara moja, sema nini relax jipe mda tafuta msichana wa kukufariji, usipende kukaa sana peke ako usije ukajiua
 
Mkuu yanapita"""

Muamin Allah/God;;;;;Utatoboa"" 2
 
Kaka sikia . ..
Haya maisha yasije kukuchanganya, hongera kwanza geto lako ndani Lina rangi + tiles. Maisha hatua na epuka kujiringanisha na watu wengine Kwamba "mbona tumesoma wote wao wanakazi? Mbona huyu nalingana naye kiumri lakini yeye ana tembea na gari?" Utachanganyikiwa ukienda masaki
Wapo ambao pakulala tu Ni ndoto we katiza mida ya wanga Kariakoo ooooh, walala nje kibao.
 
Dah nimejiskia vibaya mkuu! Pole tuendelee kupambana na Mungu atajalia

Kikubwa ni uhai tumepewa basi usikate tamaa pambana mkuu... YNWA kop
 
Mkuu haupo peke yako.. tuko wengi sana...pambana sana
 
Unamiliki smartphone lakini magodoro na vitanda used vinauzwa bei rahisi chini ya laki unapata
 
Unamiliki smartphone lakini magodoro na vitanda used vinauzwa bei rahisi chini ya laki unapata
Simu yangu ni tecno c 8 nilinunua 2014 wakati nipo first yr chuo.
Siwezi uza maana ndio chombo pekee cha gharama ambacho hunipatia madili ya kutumiwa matangazo ya Ku apply kazi.
Sometimes matangazo huja "apply online" nitafanyaje bila smartphone?
Ni mbovuu balaa na ina miaka 6 ila nitafaje sasa?

BEFORE JUDGE PLEASE ASK.

#YNWA
 
Pole mkuu

Endelea kupambana,maisha hayawezi kuishia hapo ulipo sasa....ipo siku unayopitia sasa yatabaki kuwa history na utakuwa mshauri mzuri kwa watakaokuwa katika situation uliyonayo sasa

Usikate tamaa
 
Maisha ni fumbo Pana Sana,wengi tupo hivyohivyo tunashindia mihogo Tu na chachandu

Walitundanganya kwenye mtego waelimu Sasa imetufanya tukawa masikini plus shida shida
 
Hongera unapajulala...mie nimelelewa sana na watu ambao siwajui..yaan nafika tu naanza kukaa ila hayo yote leo yamekua historia...utafika tu
 
Back
Top Bottom