Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
Pole mkuuYa tatu inaniuma sana, rafiki ninaemuamini na kumpa siri zangu kumbe alikuwa ananifanyia ushirikina. Mara anipe suruali inayofanana na ya kwake na baadae nguo kupotea kiajabu. Mimi nilifurahiya tu kama zuzu. Ila hakufanikiwa na ashindwe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiufupi apo ni rafiki mkuu then nipe jibu1.HAPANA.
ni wewe mwenyewe,mtu yeyote anaweza kubadirika akasaliti mtazao wako kwake muda wowote,ila ni wewe tu ndio una taarifa na kile unachopanga kukifanya dkk chache mbeleni.
Hapo kwenye namba 1 ni kwanini baba haukumuweka au haukuwahi kupata malezi bora kutoka kwa mzazi wa kiume pia?Namba 1. mtu pekee(rafiki) halisi ni mama yako mzazi tu
Namba 2: fukara hana rafiki
Namba 3: siku zote unaempenda zaidi ndie atakuja kukuumiza zaidi
Namba 4: ukiwa na furaha utaburudika muziki Lakini ukiwa na huzuni utaelewa shahiri
Namba 5: watu wanaheshimu pesa na sio binadam
Namba 6: katika maisha mambo mawili watu watakujua mvumilivu wako ukiwa huna kitu na tabia yako ukiwa na pesa
Namba 7: ukweli ni rahisi lakini unapoanza kuulezea ndipo unapoanza ugumu.
Kama ni hivyo basi hata wewe mwenyew unaweza kubadili mtazamo wako mwenyew.1.HAPANA.
ni wewe mwenyewe,mtu yeyote anaweza kubadirika akasaliti mtazao wako kwake muda wowote,ila ni wewe tu ndio una taarifa na kile unachopanga kukifanya dkk chache mbeleni.
Kabisa kabisaa kabisaa1.HAPANA.
ni wewe mwenyewe,mtu yeyote anaweza kubadirika akasaliti mtazao wako kwake muda wowote,ila ni wewe tu ndio una taarifa na kile unachopanga kukifanya dkk chache mbeleni.
🤝🤝🤝Namba 1. mtu pekee(rafiki) halisi ni mama yako mzazi tu
Namba 2: fukara hana rafiki
Namba 3: siku zote unaempenda zaidi ndie atakuja kukuumiza zaidi
Namba 4: ukiwa na furaha utaburudika muziki Lakini ukiwa na huzuni utaelewa shahiri,