Maisha Mapya ya Jackline Ntuyabaliwe...

Maisha Mapya ya Jackline Ntuyabaliwe...

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila tuseme tu ukweli Jacky alikua anaishi maisha ya kujibana mno baada ya kuolewa na Mengi, yani ilimbidi avuke age yake na kuacha mambo ya starehe ya kupost picha akiwa sehemu mbali mbali akila bata , yani Jacky alikua anaishi kama mwanamke wa miaka 58 wakat hata 40 hajafikisha, hiyo yote ilikua ni kujaribu ku cope na Hadhi ya mumewe na alijitahidi kwa kweli .

Kama nawaona madada wa mujini walivyofurahia anguko la jacky akiongozwa na Mange kimambi, unajua Jacky alikua akiogopwa sana na watu , hata magazeti ya udaku walikua hawawezi kupost habari za ujinga kama mastaa wengine walivyokua wakiandikwa vibaya , Jacky alikua akiingia sehemu unaona simba kaingia, niliwahi kukutana nae pale ofisini kwake masaki akiwa ndani ya Mercedes , yan alivyoshuka tu , utasema huyu mwanamke hajazaliwa, yani alikua anaogopeka kama princess Diana.

Ila niwaambieni tu Madada wa mujini, kamwe jacky hawezi kuwa kama nyie japokua mumewe hayupo, Yule bado yuko vzur na na ndugu zake kashawapachika kwenye makampuni ya mumewe, plus yeye mwenyewe Ana kampuni ya furniture za kisasa pale masaki , achilia mbali shule yake, uzuri wa jacky ako smart , hanaga show off za kijinga, Ila sasa hvi atajaribu kuishi maisha ya zari ili awaprove watu kuwa bado yuko vzur and ofcourse yuko vizur , kumbuken kwa miaka yote aliyodate na marehemu , kashapata network , connection na wafanyabiashara wakubwa ndani na nje ya nchi , hivyo jacky bado sio type Yenu , na apo bado kuna mijanaume mikwale yenye pesa zao chafu wanamtaka jacky

Yani apo msitegeme jacky ataanza ku date sijui na bongo movie au bongo flavor , Yule still atakua anamilikiwa na watu wenye pesa zao chafu , yani jacky sio mwenzenu tu alishaondoa nuksi zamani.

Mnaofurahia yaliyomkuta Jacky polen Zenu, mwenzenu Ana share 50% ya urithi kutoka kwa mumewe, yani bado sana mtaendelea kunyooshwa.

Ila mengi jamani alimpenda sana Jacky, Yule baba alikufa na kuoza, yani pale sio uchawi wala nini , ile ni pure genuine love , sio wakina flan hawaamini mtu anaweza kukupenda bila uchawi , penzi Lao bado litabaki kuwa na mvuto na msisimko mkubwa . Baba wa watu nyie alimpenda mkewe na kama wakimfanyia vibaya jacky mzimu wa mengi hautawaacha salama, Yule mzee jacky alikua ni kila kitu kwake .

Sasa hvi jacky tutakua tunakuchamba tu kama akina hamisa🤣🤣, yani maisha haya yanabadilika, people won't treat you the same aiseh , pole sana najua unaumia sana , maana ule upendo wa mengi hautoupata kokote hata kwa huyo mwarabu anayesemekana mnatoka nae. In short atakuibia tu pesa basi , real love alikua nayo mengi, pole sana dada ,' Mungu akutie nguvu
 
Jacky anajitambua sana, kama show off angefanya akiwa na mumewe! Ila hakupenda iwe hivyo!

Huyo atakayemchamba ni wivu tuu, na kumfikia hatuwezi tutaishia kukopa bando la kuingia insta hukoo!
 
Mangi yeye anawivu tu nawatu kila mtu yeye anawivu ila hajui yeye kama ni spy kwanini asispy huko nchini marekani huku tu nchi masikini hii yenye njaa anawapa watu stress tu kila mara??
Nahuku ningemwona mjanja angetumbua majibu ya huko nchini Marekani.
Hana lolote kwanza Zari amemmchamba mpaka basi mangi anatakaga kiki tu akijifanya anajua mengi kuhusu watu .
Mwisho wa hawa watu nikuumbukaga .
Kama alivyosema watu waandamane yeye akaandamana pale embasy mbona hajaja aandamane na waliomsupport na waliambiwa watoke hapo wanasumbua ni ni mapolisi hao wahuko.
Na pia alipopewa kuongea utasema analia yuko haaaahaaa huyo nikiki tu anataka.
Walai ili aonekane nakusemwa mangi this mangi that
 
Jacky mwanamke wa mboga 7 Mangekimambi mamantilie kuwa na kinyongo kwa mwenziwe hio kawaida. Mwenziwe ana wateja wa million yeye wateja wake wa buku jero.😆😆

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ila tuseme tu ukweli Jacky alikua anaishi maisha ya kujibana mno baada ya kuolewa na Mengi, yani ilimbidi avuke age yake na kuacha mambo ya starehe ya kupost picha akiwa sehemu mbali mbali akila bata , yani Jacky alikua anaishi kama mwanamke wa miaka 58 wakat hata 40 hajafikisha, hiyo yote ilikua ni kujaribu ku cope na Hadhi ya mumewe na alijitahidi kwa kweli .

Kama nawaona madada wa mujini walivyofurahia anguko la jacky akiongozwa na Mange kimambi, unajua Jacky alikua akiogopwa sana na watu , hata magazeti ya udaku walikua hawawezi kupost habari za ujinga kama mastaa wengine walivyokua wakiandikwa vibaya , Jacky alikua akiingia sehemu unaona simba kaingia, niliwahi kukutana nae pale ofisini kwake masaki akiwa ndani ya Mercedes , yan alivyoshuka tu , utasema huyu mwanamke hajazaliwa, yani alikua anaogopeka kama princess Diana.

Ila niwaambieni tu Madada wa mujini, kamwe jacky hawezi kuwa kama nyie japokua mumewe hayupo, Yule bado yuko vzur na na ndugu zake kashawapachika kwenye makampuni ya mumewe, plus yeye mwenyewe Ana kampuni ya furniture za kisasa pale masaki , achilia mbali shule yake, uzuri wa jacky ako smart , hanaga show off za kijinga, Ila sasa hvi atajaribu kuishi maisha ya zari ili awaprove watu kuwa bado yuko vzur and ofcourse yuko vizur , kumbuken kwa miaka yote aliyodate na marehemu , kashapata network , connection na wafanyabiashara wakubwa ndani na nje ya nchi , hivyo jacky bado sio type Yenu , na apo bado kuna mijanaume mikwale yenye pesa zao chafu wanamtaka jacky

Yani apo msitegeme jacky ataanza ku date sijui na bongo movie au bongo flavor , Yule still atakua anamilikiwa na watu wenye pesa zao chafu , yani jacky sio mwenzenu tu alishaondoa nuksi zamani.

Mnaofurahia yaliyomkuta Jacky polen Zenu, mwenzenu Ana share 50% ya urithi kutoka kwa mumewe, yani bado sana mtaendelea kunyooshwa.

Ila mengi jamani alimpenda sana Jacky, Yule baba alikufa na kuoza, yani pale sio uchawi wala nini , ile ni pure genuine love , sio wakina flan hawaamini mtu anaweza kukupenda bila uchawi , penzi Lao bado litabaki kuwa na mvuto na msisimko mkubwa . Baba wa watu nyie alimpenda mkewe na kama wakimfanyia vibaya jacky mzimu wa mengi hautawaacha salama, Yule mzee jacky alikua ni kila kitu kwake .

Sasa hvi jacky tutakua tunakuchamba tu kama akina hamisa🤣🤣, yani maisha haya yanabadilika, people won't treat you the same aiseh , pole sana najua unaumia sana , maana ule upendo wa mengi hautoupata kokote hata kwa huyo mwarabu anayesemekana mnatoka nae. In short atakuibia tu pesa basi , real love alikua nayo mengi, pole sana dada ,' Mungu akutie nguvu
Kwa nini Mange ana wivu sana?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom