katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Wewe maisha ya watu inamuhusu niniahangaike na maisha yake kwa maana maisha ya watu hamuhusu .Mange sio spy ila watu wa karibu ndio wanamtumia data ili hazitoe hadharani.
Km Musiba na gazeti lake la Tanzanite lkn Kuna mtu mwengine pembeni anatoa taarifa.
Na Shimimana ni dada yake?Acheni zenu jamani. Jack hana matatizo. Namjua in & out. Dada yake mkubwa ni gyno, mke wa Col. Joseph Simbakalia mkurugenzi mkuu wa EPZA. Na ni yeye Jack aliyesababisha somebody Emanuel Simbakalia kuwa sehemu ktk muundo wa IPP Media. Jack ni brainiac. Nakumbuka siku moja Jack alihimizwa na dada yake kumjali sana mzee Mengi shauri ya huruma ya dada mtu kwa mzee Mengi. Jack alijibu jibu mujarabu kudhihirisha mapenzi yake kwa mzee.
moyo kichaka ndio maana kuna semi kama tumuachie Mungu au M/MUNGU anajua zaidiAcheni zenu jamani. Jack hana matatizo. Namjua in & out. Dada yake mkubwa ni gyno, mke wa Col. Joseph Simbakalia mkurugenzi mkuu wa EPZA. Na ni yeye Jack aliyesababisha somebody Emanuel Simbakalia kuwa sehemu ktk muundo wa IPP Media. Jack ni brainiac. Nakumbuka siku moja Jack alihimizwa na dada yake kumjali sana mzee Mengi shauri ya huruma ya dada mtu kwa mzee Mengi. Jack alijibu jibu mujarabu kudhihirisha mapenzi yake kwa mzee.
Kumbe ww kazi yako ni kudili na maisha ya watu tu baas, kuna watu ni hasara duniani aisee!Ila tuseme tu ukweli Jacky alikua anaishi maisha ya kujibana mno baada ya kuolewa na Mengi, yani ilimbidi avuke age yake na kuacha mambo ya starehe ya kupost picha akiwa sehemu mbali mbali akila bata , yani Jacky alikua anaishi kama mwanamke wa miaka 58 wakat hata 40 hajafikisha, hiyo yote ilikua ni kujaribu ku cope na Hadhi ya mumewe na alijitahidi kwa kweli .
Kama nawaona madada wa mujini walivyofurahia anguko la jacky akiongozwa na Mange kimambi, unajua Jacky alikua akiogopwa sana na watu , hata magazeti ya udaku walikua hawawezi kupost habari za ujinga kama mastaa wengine walivyokua wakiandikwa vibaya , Jacky alikua akiingia sehemu unaona simba kaingia, niliwahi kukutana nae pale ofisini kwake masaki akiwa ndani ya Mercedes , yan alivyoshuka tu , utasema huyu mwanamke hajazaliwa, yani alikua anaogopeka kama princess Diana.
Ila niwaambieni tu Madada wa mujini, kamwe jacky hawezi kuwa kama nyie japokua mumewe hayupo, Yule bado yuko vzur na na ndugu zake kashawapachika kwenye makampuni ya mumewe, plus yeye mwenyewe Ana kampuni ya furniture za kisasa pale masaki , achilia mbali shule yake, uzuri wa jacky ako smart , hanaga show off za kijinga, Ila sasa hvi atajaribu kuishi maisha ya zari ili awaprove watu kuwa bado yuko vzur and ofcourse yuko vizur , kumbuken kwa miaka yote aliyodate na marehemu , kashapata network , connection na wafanyabiashara wakubwa ndani na nje ya nchi , hivyo jacky bado sio type Yenu , na apo bado kuna mijanaume mikwale yenye pesa zao chafu wanamtaka jacky
Yani apo msitegeme jacky ataanza ku date sijui na bongo movie au bongo flavor , Yule still atakua anamilikiwa na watu wenye pesa zao chafu , yani jacky sio mwenzenu tu alishaondoa nuksi zamani.
Mnaofurahia yaliyomkuta Jacky polen Zenu, mwenzenu Ana share 50% ya urithi kutoka kwa mumewe, yani bado sana mtaendelea kunyooshwa.
Ila mengi jamani alimpenda sana Jacky, Yule baba alikufa na kuoza, yani pale sio uchawi wala nini , ile ni pure genuine love , sio wakina flan hawaamini mtu anaweza kukupenda bila uchawi , penzi Lao bado litabaki kuwa na mvuto na msisimko mkubwa . Baba wa watu nyie alimpenda mkewe na kama wakimfanyia vibaya jacky mzimu wa mengi hautawaacha salama, Yule mzee jacky alikua ni kila kitu kwake .
Sasa hvi jacky tutakua tunakuchamba tu kama akina hamisa[emoji1787][emoji1787], yani maisha haya yanabadilika, people won't treat you the same aiseh , pole sana najua unaumia sana , maana ule upendo wa mengi hautoupata kokote hata kwa huyo mwarabu anayesemekana mnatoka nae. In short atakuibia tu pesa basi , real love alikua nayo mengi, pole sana dada ,' Mungu akutie nguvu
Huyo Gyno alishawahi kuwa top wa PRIDE Tanzania?Acheni zenu jamani. Jack hana matatizo. Namjua in & out. Dada yake mkubwa ni gyno, mke wa Col. Joseph Simbakalia mkurugenzi mkuu wa EPZA. Na ni yeye Jack aliyesababisha somebody Emanuel Simbakalia kuwa sehemu ktk muundo wa IPP Media. Jack ni brainiac. Nakumbuka siku moja Jack alihimizwa na dada yake kumjali sana mzee Mengi shauri ya huruma ya dada mtu kwa mzee Mengi. Jack alijibu jibu mujarabu kudhihirisha mapenzi yake kwa mzee.
ila huyu dada warumi sjui mmbea JF impe tuzo aseee..sipati picha akiendaga saloon kutengeneza nywele huko saloon nadhan wanatamanigi asiondoke alale humo humo maana anajua Ku brand ubuyu wake bwana kaaah
Jioni ya leo tupishane Istedgade, Vesterbro.Dah Ngoja nirudi kubeba boksi tu nilikuwa short break
Mi ndio maana niliamini Mengi kala bata ambalo hakuwahi kulila toka azaliwe na kama furaha yule mwanamke alijua kumpa banaYule baba inaonyesha alichokuwa anakitaka ni furaha tu maana pesa alikuwa nayo. Kuna siku walienda Hyatt hotel. Mara nyingi walikuwa wanaenda kula yule baba hutoa sana tips kwa wafanyakazi wa Ile hoteli. Ila ila alikuwa hatoi hela mbele ya Jacky. Sijui yule mwanamke alikuwa hapendi
Hahaha wee mkaldayo acha porojo jamvini fanya kazi na ujikite kwenye madaWewe Mgerasi sio hupo ni upo