Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Yesu tusaidieeee tuMungu awe nanyi,
Dunia Ina mengi matamu tumeishi nyakati zote tunaona utamu wa Dunia ila kwa sasa mapenzi yamekuwa Machungu sana, bila pesa wanaume tumegeuka vibwengo watazamaji wa miili minono ya wanawake ikipita barabarani, ukijikaza kidogo tu swali la kitaifa linakuhusu. Una shingapi?
Hii ndio habari ya Dunia kua uyaone, ya one yakutese.
Kichwamoto nawaka moto
Demu kama huyu ukimchokoza tu atakwambia 50-70 short time wahuni sio watuYesu tusaidieeee tu
View attachment 2978713
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzako tunatongozaga mahousegirl hawana gharama ..
Utata akishakutana na bodaboda basi ndo unakuwa umashaachwa hivyo .
kula kitimoto upoze hilo jotoKichwamoto nawaka moto
Duh!! aisee usitume hizi picha. sisi wengine ni wazaifu sana.Yesu tusaidieeee tu
View attachment 2978713
Umeongea vizuri ila dela bila chupi haupo sahihi, hao wasaizi wapo mtaani na wapo na tabia nzuri tu kabisa wife materials.Umetumia mfano mzuri. Kitunguu swaumu kichungu ila kitamu. Kikishaivia kwenye mboga aaaaaah burudani!
Mapenzi sio machungu nakuhakikishia. Uchungu unakuja ukianza kutafuta asie wa size zako. We kama huna kitu kamata pisi ya street tu na dela lake bila chupi ishi nayo kiupole. Itataka hela yes ila buku 3 maximum faivu sauzandi.
Asa we mwenzangu hali yako ka yangu unaenda tongoza pisi mlimani siti kweli bro?