DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkishapigika ndio mnajiita watakatifu, Mimi nasubili ushuhuda wa watu kama Bakhresa, Mo Dewji na watu wasiokuwa na njaa ndio waje kunihubiria utakatifu, lakini siyo illusions za mtu anayesumbuliwa na njaa na madeni.
HamnaSadaka na kuinua mikono ya manabii unatoa?
Mkishapigika ndio mnajiita watakatifu, Mimi nasubiri ushuhuda wa watu kama Bakhresa, Mo Dewji na watu wasiokuwa na njaa ndio waje kunihubiria utakatifu, lakini siyo illusions za mtu anayesumbuliwa na njaa na madeni.
Itoshe kusema unaisha maisha yako halisi na si ya kuiga iga. Hayo ya usafi ni misemo tu.Hamna
Mimi naishi utakatifu wa matendo tu
Usafi wa mwili
Usafi wa roho
Usafi wa matendo
Kuna code kama Binadamu unabidi kuzizingatia .Itoshe kusema unaisha maisha yako halisi na si ya kuiga iga. Hayo ya usafi ni misemo tu.
Ni wapi nimesema sina hofu ya Mungu?Unahitaji kupata utakaso kutoka kwa Watu wa kiroho maana kama hauna hofu ya Mungu hauna tofauti na Mnyama.
Seek for DeliveranceNi wapi nimesema sina hofu ya Mungu?
Huwezi kueleweka hata mimk sikuelewiHii post huwezi kuelewa
Mimi naelewa kuhusu ukuu wa Mungu .
Hizi ndio illusion naziongelea, halafu nije kwenye makanisa yenu kuniongezea umaskini kwa sadaka na michango isiyoisha?Seek for Deliverance
KnowlegeNi vigumu sana kuishi maisha matakatifu pasipo kuwa na MAARIFA, UFAHAMU na HEKIMA.
Na ukisema kuwa kuishi kitakatifu ni kutokutenda dhambi....ni Sawa na kujidanganya mwenyewe na tena bado unakua haujaijua kweli.
Kabisa!Hakika nikijiangalia kipindi changu cha Majira ya upofu ambapo nilikuwa sijaamua kuishi katika Maisha ya utakatifu. Naona mabadiliko makubwa sana...
Dont worry mkuu utakatifu sio kwa kila mtuHizi ndio illusion naziongelea, halafu nije kwenye makanisa yenu kuniongezea umaskini kwa sadaka na michango isiyoisha?
Kwa umri wako na ulivyo simtu wakuzungumza huu ushuzi wako hapa.Mkishapigika ndio mnajiita watakatifu, Mimi nasubiri ushuhuda wa watu kama Bakhresa, Mo Dewji na watu wasiokuwa na njaa ndio waje kunihubiria utakatifu, lakini siyo illusions za mtu anayesumbuliwa na njaa na madeni.
Wewe umri wangu umeuona wapi? dini zimewafanya watu mmekuwa wajinga kabisa.Kwa umri wako na ulivyo simtu wakuzungumza huu ushuzi wako hapa