Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Mkuu naona unaandika kama ngojera mnapokezana
Kweli kabisa mkuuDunia ina mengi hii
Ukipata mkate wa sku shukuru
Mungu kuna watu wanaptia
hali mbaya sana
Mjinga mimimrudi mkalime.
mapori mengi mikoani.
sio lazma wote tukae mjini.
sasa maisha yamekupiga bado unang'ang'ania mjini.Mjinga mimi
Wewe una kazi gani mjini hapa?sasa maisha yamekupiga bado unang'ang'ania mjini.
si uende ifakara ukalime mpunga..
mashamba ya kujikatia.
kitengo maalum.Wewe una kazi gani mjini hapa?
Kitengo maalum? Wasiojulikana?kitengo maalum.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hauwezi jua.Kitengo maalum? Wasiojulikana?
Ngoja nimtonye kamanda Cirle[emoji1] [emoji1] [emoji1] hauwezi jua.
umenijua jamii forum.niache humu humu jamii forums[emoji125] [emoji125] [emoji125]
MCHANA WATU USIKU SIMBA.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .Ngoja nimtonye kamanda Cirle
Soon[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .
welcome