Termux Black
Member
- Jan 30, 2022
- 23
- 32
Jamaa anafanya marketing ya bitcoin; ameambiwa J-zz / Dorsey wanakuja wekeza huku kwa wanyambwa na yeye anaweza ukoteza %!!! Mimi nangojea crypto itakayoanzishwa na progressive Governor wa BOT baada ya Luoga kuondoka!!!
Wakianzisha lazima waweke sheria. Manake itakuwa regulated.Kama Kuna Crypto ambayo inategemewa kuanzishwa na serikali itakua nzuri ila wasimeke masheria Yao makali maana this is a decentralized world. Eg USDT ilianza kama utani walonunua mwaka janaa wanaunload tu sasaiv.
Crypto is something very valuable than gold
Benki kuu mwaka 2019 SI walitoa tangazo kuwa hizi sarafu za mitandaoni hazitambui??,Wakianzisha lazima waweke sheria. Manake itakuwa regulated.
Wamekataza kama njia rasmi ya malipo. Mf. huruhusiwi kufanya biashara ya kuuza magari malipo yakawa na crypto kwa sababu haiko regulated nchini. Ila mara kadhaa viongozi wakuu wa nchi wamesisitiza watu wajiandae kwa mabadiliko kwani ndio dunia inapoenda.Benki kuu mwaka 2019 SI walitoa tangazo kuwa hizi sarafu za mitandaoni hazitambui??,
Ila mama Samia nasikia Alikuwa anazifanyia promo.. Ili zitumike sijajua kama wamezuruhusu
Wamekataza kama njia rasmi ya malipo. Mf. huruhusiwi kufanya biashara ya kuuza magari malipo yakawa na crypto kwa sababu haiko regulated nchini. Ila mara kadhaa viongozi wakuu wa nchi wamesisitiza watu wajiandae kwa mabadiliko kwani ndio dunia
Safi sana mkuu, ngoja tuendelee kujifunzaWamekataza kama njia rasmi ya malipo. Mf. huruhusiwi kufanya biashara ya kuuza magari malipo yakawa na crypto kwa sababu haiko regulated nchini. Ila mara kadhaa viongozi wakuu wa nchi wamesisitiza watu wajiandae kwa mabadiliko kwani ndio dunia inapoenda.