Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Moja ya mambo ambayo binadamu hukaa na kufikiri ikiwemo mimi ni juu ya swala la hatima ya maisha.
Ushawahi fikiri kuhusu imani ambayo unaamini kuwa Mungu Yupo na anaweza ghafla ukawaza tena kwanini Shetani aitwe Mungu wa ulimwengu huu je nikiwa mtakatifu alafu nikifa hakuna hata imani moja nilioamini ipo kweli.
Nitakufaje au bora nifanye dhambi na hayo mateso ya kuzimu nitayavumilia tu labda na yenyewe ni yakufikirika.
Je, Yesu ni Mungu mmmh unatizama na maneni yake kwenye biblia lakini tena unawaza ingekuwa hivi au vile nisingekuwa fukara mbona washirikina wanakua matajiri inaonekana shetani ni tajiri sio.
Bado nawaza tena je ninaweza kuzaliwa tena baada ya kufa au ndio imetoka je siku ya mwisho mungu baba ataonekanaje mmmh!
Nasikia kuingia mbinguni ni safari ngumu sana sasa nikijitahidi sana kuwa mtakatifu na nikaenda kuzimu si itakuwa kazi buree bora tu nifanye yangu yanipendezayo duniani ili tu nisijinyime buree nijue tu moja kuwa nitachomwa kuliko kujinyima alafu kitu kidogo kiniangushee tena bila kujua.
Bado nawaza ningekuwa na nguvu kama superman siningetamba sana au ningezaliwa jini kwa maisha haya ya kibinadamu tunanyanyasika mpaka na mbu.
Nimewaza mengi ila ngoja niishie hapa.
POLE KWA MFUNGO