DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Supernatural power ni nguvu ya asili ambayo ni matokeo ya ukamilifu wa mifumo na vitu vinavyounda mazingira. (Mazingira hai na mazingira mfu).
Nakubaliana na uwepo wa Supernatural power lakini kwenye dini bado sijashawishika.
Kila kiumbe hai hujitengeneza chenyewe automatically huku mchakato mzima ukiendeshwa na mazingira.
Reasons......
-Kama Supernatural power isingekuwa ni mazingira basi viumbe hai visingekuwa na pahala maalumu pakuishi ulimwenguni (vingeweza kuishi popote pasipo shaka wala kudhulika).
Jiulize kwanini ukitupwa majini unakufa? Kwanini samaki akiwekwa nchi kavu anakufa? Hiyo ni mifano michache kati ya mingi ambayo mtu mwenye kujishughulisha katika kufikiri ataipata ya kutosha tu.
Kama nguvu iliyoumba viumbe na visivyo viumbe hai haitoki katika mazingira basi viumbe hai tungeweza kuishi popote pasipo kudhulika.
Mchawi hutumia mitishamba katika shughuli zake (mitishamba ni sehemu ya mazingira)
Hospital kuna madawa ambayo hutumika kutibu wagonjwa (madawa yametoka katika mazingira)
Conclusion! Wadau wa Dini walichungulia fursa kwa ku-take advantage ya watu wengi kutokuwa na uelewa na nguvu iliyopo katika mazingira.