Sasa wewe hizi picha umezipataje??, wewe hujui kiduku na jiwe ni maswahiba??
Rais wa wanyonge amemwaga asali na maziwa nchi nzima kwa sasa ndiyo maana anapendwa na wagombea wa chama chake wanapita bila kupingwa.Tukimaliza hizi tutumie na za maisha ya hapa Tanzania, hasa vijijini.
Kumbuka kuwa hawa wamewekewa vikwazo kwa miaka mingi lakini sio ombaomba kama sisi ambao tuna kila kitu. Hawa hata rasilimali zipo limited sana.Huwezi linganisha na maisha ya wale ndugu zao wa Korea Kusini. Hapa inadhihirisha kwamba ukomunisti ni kama utumwa fulani hivi + umasikini huku watawala wakijifanya mungu watu.