FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Nimeisha Dallas na Texas huu mwaka wa nne lakini sjakutana na matakataka uliyoyaandika.Nasikia huko bila dollar 200 hujapata bado..., halafu nasikia matrafiki wa huko hawachukui rushwa kabisa, ukifanya kosa ni faini na inaingia kwenye rekodi.., tena huko hata ukimzaba mkeo kofi unalala ndani.., ukitembea upande usio wako barabarani (wanaita J walking sijui) unalala ndani, mkilala zaidi ya wawili chumba kimoja mnapigwa faini kwa kuzidisha allowed density ya nyumba, na hata kama ni watoto wako unaambiwa umewashindwa so wanaenda kulelewa na welfare/ustawi;
Ukiendesha gari huku umekunywa hata bia tatu tu unalala ndani, ukikutwa ume-install pirated software kwenye laptop yako unalala ndani, ukikutwa unaingizia watu movie kwenye flash unalala ndani, ukikutwa umepanga biashara bila leseni unalala ndani, ukimnyanyapaa au kumsema vibaya shoga au msagaji unalala ndani kisha mahakamani, ukikutwa popote pale bila kitambulisho cha taifa (cha fingerprint) unalala ndani, ukioverspeed mjini unalala ndani, ukichelewesha child support (matunzo ya mtoto) unanyang'anywa driving license kisha unalala ndani halafu mahakamani, mijaji ya kule haili rushwa, hivyo ni jela miezi sita. jamani, si gereza lile??!
Ukikutwa unasikiliza mziki kwa sauti kubwa unalala ndani, ukikutwa mbwa wako amekonda au hajaogeshwa basi unashtakiwa kwa ukatili kwa wanyama na utalala ndani, ukikutwa unachoma nyama kwenye park ya umma bila kibali unalala ndani, ukikutwa umepaki gari sehemu ya wrong parking basi gari lako utalikuta yard na faini yake unaweza kununua gari lingine hapa bongo.., kule bila dollar 3000 hujanunua nguo za kubadilisha hata wiki, hakuna manzese wala karume kule.., kule kama sio milionaire sahau kuhusu kununua au kujenga nyumba, kwanza hujengi hata banda la mbwa kama huna kibali, kama sio milionaire sahau kuhusu kumiliki hata ekari 10 za kulima hata matembele, kule mnaishi kwenye vi-appartment kama vitundu vya ndege ghorofani, na kwa wale wenye vikazi vya kueleweka ndio wanachukua mortgage kwenye nyumba wanazoishi, ambapo unailipia kidogo kidogo hadi inakuwa yako, na ukiishia kati unanyang'anywa na pesa yote inakuwa imeenda, kule bila milioni 300 hujampeleka mtoto chuo level ya degree.., sio huku eti ada milioni 1 na degree nje nje..,kule usipofanya pruning ya majani ya uwani kwako faini ni dollar 50 kwa kila siku yanapokuwa umeyaacha marefu au la unalala ndani,
maisha gani hayo? si jehanam hiyo..???!
Mbaya zaidi, ukikutwa umenunua huduma ya mdada kwenye states ambazo biashara hiyo imeharamishwa basi faini yake ni dollar 3000 au jela miezi sita, halafu mipolisi ya kule haichukui rushwa sijui upoje? yaani unasukumwa ndani, kule ukiacha mazingira ya nje ya nyumba yako hovyo kiasi mbu na wadudu wengine wakawa wanazaliana humo unaweza kunyang'anywa nyumba kwa kuendanger public safety na utalala ndani.
bado sijamaliza, ngoja ninywe maji...;
Kule ukikamatwa umemchapa mtoto kwa fimbo au chochote kile unashtakiwa kwa ukatili kwa watoto, utanyang'anywa hao watoto na utalala ndani, kule watoto kisheria wanafundishwa LGBT rights na wanakuwa promoted kutowabagua na kutoogopa kuwa mashoga, na ukimzuia mtoto kuwa shoga unasukumwa ndani, na ukimzuia mtoto kushiriki tamasha la ngono la kutoana bikra linaolandaliwa mashuleni kila mwaka, wanaita PROM NIGHT basi utalala ndani, unachoweza kufanya ni kumpa condom tu basi, ila kutoana bikra ni haki ya kilazima..
Rudi nyumbani nikakukatie walau eka 20 pale msata ufanye ujasiriamali, ππππ...., nakupa na wake watatu kabisa, maana huku mahari ni mbuzi tu..ππππ , au laa endelea kubeba maboksi na kuogesha wastaafu..πππππ, natania tu mkuu, usinijibu.Nimeisha Dallas na Texas huu mwaka wa nne lakini sjakutana na matakataka uliyoyaandika.
Rudi nyumbani nikakukatie walau eka 20 pale msata ufanye ujasiriamali, ππππ...., nakupa na wake watatu kabisa, maana huku mahari ni mbuzi tu..ππππ , au laa endelea kubeba maboksi na kuogesha wastaafu..πππππ, natania tu mkuu, usinijibu.
Mungu anakuonaBuza kuzuri sana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1344552
Mkuu nimependa hii ila mbona wabongo wakienda huko pamoja na haya yote uliosema awatamani kurudi nyumbani inawezekana pamoja na taratibu zote izo ila bado wanalipwa urija mzuri kulingana na mtu anafanya so ata ikitokea mtu akapigwa fain ya dollar 3000 bado uwezo wa kuilipa unakuepo na maisha yanaenda kama kawaNasikia huko bila dollar 200 hujapata bado..., halafu nasikia matrafiki wa huko hawachukui rushwa kabisa, ukifanya kosa ni faini na inaingia kwenye rekodi.., tena huko hata ukimzaba mkeo kofi unalala ndani.., ukitembea upande usio wako barabarani (wanaita J walking sijui) unalala ndani, mkilala zaidi ya wawili chumba kimoja mnapigwa faini kwa kuzidisha allowed density ya nyumba, na hata kama ni watoto wako unaambiwa umewashindwa so wanaenda kulelewa na welfare/ustawi;
Ukiendesha gari huku umekunywa hata bia tatu tu unalala ndani, ukikutwa ume-install pirated software kwenye laptop yako unalala ndani, ukikutwa unaingizia watu movie kwenye flash unalala ndani, ukikutwa umepanga biashara bila leseni unalala ndani, ukimnyanyapaa au kumsema vibaya shoga au msagaji unalala ndani kisha mahakamani, ukikutwa popote pale bila kitambulisho cha taifa (cha fingerprint) unalala ndani, ukioverspeed mjini unalala ndani, ukichelewesha child support (matunzo ya mtoto) unanyang'anywa driving license kisha unalala ndani halafu mahakamani, mijaji ya kule haili rushwa, hivyo ni jela miezi sita. jamani, si gereza lile??!
Ukikutwa unasikiliza mziki kwa sauti kubwa unalala ndani, ukikutwa mbwa wako amekonda au hajaogeshwa basi unashtakiwa kwa ukatili kwa wanyama na utalala ndani, ukikutwa unachoma nyama kwenye park ya umma bila kibali unalala ndani, ukikutwa umepaki gari sehemu ya wrong parking basi gari lako utalikuta yard na faini yake unaweza kununua gari lingine hapa bongo.., kule bila dollar 3000 hujanunua nguo za kubadilisha hata wiki, hakuna manzese wala karume kule.., kule kama sio milionaire sahau kuhusu kununua au kujenga nyumba, kwanza hujengi hata banda la mbwa kama huna kibali, kama sio milionaire sahau kuhusu kumiliki hata ekari 10 za kulima hata matembele, kule mnaishi kwenye vi-appartment kama vitundu vya ndege ghorofani, na kwa wale wenye vikazi vya kueleweka ndio wanachukua mortgage kwenye nyumba wanazoishi, ambapo unailipia kidogo kidogo hadi inakuwa yako, na ukiishia kati unanyang'anywa na pesa yote inakuwa imeenda, kule bila milioni 300 hujampeleka mtoto chuo level ya degree.., sio huku eti ada milioni 1 na degree nje nje..,kule usipofanya pruning ya majani ya uwani kwako faini ni dollar 50 kwa kila siku yanapokuwa umeyaacha marefu au la unalala ndani,
maisha gani hayo? si jehanam hiyo..???!
Mbaya zaidi, ukikutwa umenunua huduma ya mdada kwenye states ambazo biashara hiyo imeharamishwa basi faini yake ni dollar 3000 au jela miezi sita, halafu mipolisi ya kule haichukui rushwa sijui upoje? yaani unasukumwa ndani, kule ukiacha mazingira ya nje ya nyumba yako hovyo kiasi mbu na wadudu wengine wakawa wanazaliana humo unaweza kunyang'anywa nyumba kwa kuendanger public safety na utalala ndani.
bado sijamaliza, ngoja ninywe maji...;
Kule ukikamatwa umemchapa mtoto kwa fimbo au chochote kile unashtakiwa kwa ukatili kwa watoto, utanyang'anywa hao watoto na utalala ndani, kule watoto kisheria wanafundishwa LGBT rights na wanakuwa promoted kutowabagua na kutoogopa kuwa mashoga, na ukimzuia mtoto kuwa shoga unasukumwa ndani, na ukimzuia mtoto kushiriki tamasha la ngono la kutoana bikra linaolandaliwa mashuleni kila mwaka, wanaita PROM NIGHT basi utalala ndani, unachoweza kufanya ni kumpa condom tu basi, ila kutoana bikra ni haki ya kilazima..
hamna lolote, ukweli usiosemwa na wengi wanaoenda huko ni ile chance ya kugonga mademu wa kizungu, i guess the experience is worth the pain ya kuogesha wastaafu ma kuosha vyombo migahawani, u never know. Amini usiamini, kila mtu mweusi anapoenda kule anachowaza ni jinsi atakavyokuwa akipiga pipe mademu weupe na kuwasugua vilivyo, wala hawawazi pesa sana, maana kama ni pesa hata huku ipo tena nyingi sana, ardhi ipo ya kutosha sana, tatizo ni papuchi za kizungu ndio zinawatia wazimu, nani atarudi baada ya kuionja? ila maisha ni magumu sana kule...Mkuu nimependa hii ila mbona wabongo wakienda huko pamoja na haya yote uliosema awatamani kurudi nyumbani inawezekana pamoja na taratibu zote izo ila bado wanalipwa urija mzuri kulingana na mtu anafanya so ata ikitokea mtu akapigwa fain ya dollar 3000 bado uwezo wa kuilipa unakuepo na maisha yanaenda kama kawa
Da Mkuu nilichangia kwa fika maana USA naisikia tu na kuisoma kwenye ramani ngoja tuache nyie wazoefu mtifuane nashukuru kwa kunipa elimu kidogo Tafadhali na wenye uzoefu waje jamani tuyajue ya USAhamna lolote, ukweli usiosemwa na wengi wanaoenda huko ni ile chance ya kugonga mademu wa kizungu, i guess the experience is worth the pain ya kuogesha wastaafu ma kuosha vyombo migahawani, u never know. Amini usiamini, kila mtu mweusi anapoenda kule anachowaza ni jinsi atakavyokuwa akipiga pipe mademu weupe na kuwasugua vilivyo, wala hawawazi pesa sana, maana kama ni pesa hata huku ipo tena nyingi sana, ardhi ipo ya kutosha sana, tatizo ni papuchi za kizungu ndio zinawatia wazimu, nani atarudi baada ya kuionja? ila maisha ni magumu sana kule...