Maisha ndani ya Marekani ni sawa na gereza?

Si Bora ndani je ungekua nje na mvua hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kwa mbongo kumiliki ardhi inawezekana.Bongo kiwanja cha kariakoo milioni miatano mpaka bilioni kadhaa, buza m 5 na kuendelea.Vijijini huko heka laki na kuendelea.Sasa inawezekana mim kuja huko na kumiliki heka walau 2.
Una bilion ngapi ?
 
Hao walifulia kwa sababu hawana financial discipline, ukiwa millionaire usitake kuishi kama billionaire utafilisika tuu. Pia hawa marap artist wengi wanatoka family maskini sana so wakipata pesa wanakuwa kama wale vijana wa Mererani miaka ya 1990s/2000s, show off kibao, madem kibao, pombe kibao mwishowe unarudi ulipoanzia.
Mambo ni faya ndomana kule mtu kufulia ni dakika 0 kama birdman..ymcmg.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili bandiko ungeliweka tarehe 1 mwezi wa nne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika bado kaushamba kapo 😂😂😂 wengine wanadanganyika kirahic sana,,,akickia mtu anasema niko marekani au Belgium anapiga job anajua ofisini, dereva au fundi garage 😂😂😂 kumbe wabeba mabox na usafi wa mabarabara na viooni. Nilipata Bahati ya kukutana na wakenya wakifanya usafi barabara za Dubai nikamsalimia kwa kiswahili alifurahi sana.


Kwaiyo watanzania wenzangu mucpende kuamini haraka haraka, watanzania wengiwao wapenda sifa + na kaushamba flani ivi wakifika kwa mabeberu wanajiona kama wako paradise vile 😂😂
 
kwaio mnalala ndani au juu ya miti[emoji23][emoji23][emoji23] kwa mujibu wa mtoa mada.

hii yote kwamba tuione Marekani kama Mererani tu, kwamba hata tusipoenda sio ishu[emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa ni nduguye kiduku lilo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Huyo anajifurahisha maisha ya Marekani ni magumu sana ,huwezi kulinganisha na maisha ya Bongo,nimeishi Marekani nayajua ninayoongea
Sasa hivi upepo umahamia Canada kila kijana anawaza kwenda Canada wanafikiri maisha rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…