Maisha ndo haya haya, tuache majivuno

Wee demu mnafki tu unaona raha mchizi kushuka kimaisha afu eti unasema Mwanga wa Mungu umuangazie.

Skia huyo mchizi mpe muda Tu utafrahi na shoo.
 
Pole sana.
 
Yaani maelezo haya kweli ni ya kupokea taarifa ya kufulia kwa X wako kwa masikitiko..!!??
 
Hakuna mtu wa hovyo kama mwanamke akipata fursa sehemu au kazi ya maana, wakati nahangaika kuomba ajira secretary wengi sana walikuwa wanachana vyeti vyangu kwa sababu ya chuki...wanachana halafu wanatupa kwenye dustbin utasubili kupigiwa simu mpaka yesu anarudi
 
Mkuu una umri gani? Kua uyaone. Siku ukija kupata shida ndiyo utajua nachokisema.
Nakuelewa sana, Kuna kisa cha rafiki yangu mbunge wakati kachaguliwa ile 1995 , aliweka utaratibu wa kusikiliza kero za wanachi asubuhi, na ilikua unapikwa wali sufuria kubwa, maharage na chai, unataja matatizo yako na chai unakunywa, sasa ndugu zake walijazana, pale wakawa wwngi sana na wengine alisomesha, lakini alipokosa ubunge 2005 , pale kwake alibaki yeye na mke na watoto, ndugu wote walikimbia, na hata wageni kwake ikawa nadra sana , sasa ile hoja yangu nimekueleza Kwa angle ya falsafa ambayo naona haujaelewa, wewe unaelewa narration ya rafiki yangu mbunge na sio falsafa ya muda na mataukio
 
Pamoja na maneno yote ya kumuil encourage inaonekana umefurahi hali anayopitia sasa mpaka kuanzisha thread ya aina hii. Ulimpenda kwa hali aliyokuwa nayo kipindi hiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…