DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hata Kama una Maisha Magumu jiwekee utaratibu wa kutoa hata kidogo unachopata .
Yaani kipindi nilipokuwa bahili nilikuwa sipati pesa hata kidogo nilikuwa naishi kiujanja ujanja
Lakini hii kanuni ukipata unatoa kidogo wahitaji Basi ngumu kukosa kitu
Yaani Kama hautoi Mfumo unakuruka unaenda kwa Mwingine .
Nakumbuka kipindi nipo Mdogo Kuna ndugu yangu mmoja alikuwa prof wa udsm yule Jamaa anatoa Sana kwa wahitaji Basi Mambo yake yalikuwa yapo vizuri Sana
Lakini mke wake alikuwa bahili Sana Basi pamoja na mke wake kuwa prof lakini madili na safari za mara kwa mara za ulaya alikuwa hapewi.
Tatizo sisi masikini hatuamini katika kutoa ndo maana Maisha Yana kuwa Magumu Sana. Tunapenda kupokea tu lakini kutoa hatutaki.