Kiduara
Senior Member
- Sep 17, 2021
- 111
- 178
Maisha ni duara ni vema uwe na UMAKINI kwa kila jambo ulifanyalo au kusema ama kutenda.Kwani asilimia TISINI ya mafanikio yako upitia mikononi mwa watu wengine. Siku ukikosa kuungwa mkono na watu wengine jua kuwa utaangukia pua.Kitu ambacho si vizuri,tafakari kila kitu utendacho au kusema na utendaji kazi wako.