Maisha ni duara ni vema uwe na UMAKINI kwa kila jambo

Kiduara

Senior Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
111
Reaction score
178
Maisha ni duara ni vema uwe na UMAKINI kwa kila jambo ulifanyalo au kusema ama kutenda.Kwani asilimia TISINI ya mafanikio yako upitia mikononi mwa watu wengine. Siku ukikosa kuungwa mkono na watu wengine jua kuwa utaangukia pua.Kitu ambacho si vizuri,tafakari kila kitu utendacho au kusema na utendaji kazi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…