Maisha ni hadithi

Joined
Oct 8, 2018
Posts
34
Reaction score
25
Maisha ni HAD
Hapa kuna maana kubwa sana.
"Maisha ni HADIDHI tu"
Kila mtu anapokuja kwenye uso wa Dunia anakuja kitabu chake kikiwa kitupu yaani (empty) Mimi, Wewe na Yule tunaanza safari na kuandika HADITHI ya maisha yetu kila mtu kwa namna anavyoona inafaa ndipo historia inaanza mpaka tunapotoweka Duniani.
Ukipata kutambua hili utakuwa mtu mwenye HADITHI nzuri itakayosomwa na watu na kuacha alama kwa watu wengine yaani (Legacy) kwa vizazi vyako na kukumbuka tunu ya uwepo wako.
MFANO:-
Mtu anaemiliki mfumo kutengeneza fedha kwenye maisha yake utamfanya aishi sehemu ya ndoto yake na vizazi vyake zaidi ya vitano.
Labda hujanielewa vzr hapa tunatumia mfumo wa JamiiForums Kuna founder na wamiliki wa Share ndani yake Madam mfumo huu unafanya kazi wataendelea kunufaika wao na vizazi vyao vyote halikadhalika Facebook, Instagram, TikTok, Whatsapp, Google n.k Madam watu walielewa kabla hazijaanza kufanya kazi wakawekeza hakuna namna hao watu watakuja kuuishi umasikini wao na vizazi vyao.

Tujifunze Teknolojia ndugu zangu na tuwekeze humo hususani Blockchain tufute historia mbaya kwenye Familia zetu na koo zetu tuandike historia mpya.
Taarifa zipo maeneo mbali mbali duniani ni wewe kuamua kujifunza tu
Kasome METAVERSE, NFTS, CRYPTOCURRENCY na FOREX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…