mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Mhhh Wanaenda fam to me na Baki kuangalia boma izo nauli nazo mchezo..........daah nimelia sana πKwa mazingira hayo, ni bora kwenda kusherehekea kijijini
Make apo kwanza cheke πKwa misharaha hii ukimfunga sisimizi anatoka nao Ubungo mpaka Mbezi mwishoπ€£π€£π€£.
Lakini zamani mambo yalikuwa ni motoWatanzania hatuna tamaduni za kuchukulia sikukuu kwa uzito.
Harusi labda ndo tunachukulia kwa uzito.
Kwa hiyo wewe utakuwa mlinzi kwa mudaMhhh Wanaenda fam to me na Baki kuangalia boma izo nauli nazo mchezo..........daah nimelia sana π
Mlinzi na mtafutaji ili January shule iludi na new uniforms hakuna kumpzika π₯³π₯³Kwa hiyo wewe utakuwa mlinzi kwa muda
Labda wamekata tamaaKipindi hiki mabenki na ofisi nyingi za umma yanakuwa yamechafuka na maua na nyimbo laini za krismas. Mwaka huu vipi mbona kimya hadi sasa?
Nini kifanyike ili kupunguza huu umasikini na ufukara?Sababu kuu ni UMASIKINI ULIOKITHIRI. UFUKARA ULIOKITHIRI.
Kipindi hiki mabenki na ofisi nyingi za umma yanakuwa yamechafuka na maua na nyimbo laini za krismas. Mwaka huu vipi mbona kimya hadi sasa?