mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 222
🤣🤣apana mm naamin hivoo kwasababu huwez ambiwa na mtu kuwa fanya biashara flan ikiwa huna ata idear nahiyo kituuWewe umetumwa kuja kuwaaribia vijana wa Business Management vibarua vya kuwaandikia walalahoi business planning.
kuna wle wenzetu ambao huwa wanaomba ushauri juu ya biashara za kufanya😕,nakupewa ushauri mbalimbali lakin kiuharisia ukiona ume win kupata pesa basi niwa unauwezo wa kuchanganua jinsi utaitumia hiyo pesa kama nibiashara angalia una idear gan kwanza wewe ukiomba ushauri kuna watu watakuvuruga naushaur adi unachukua ile pesa ukapooze machungu na 🍺
haaaWaungwana wanaongelea triple L.
L - Labor kama unayoongelea hapa.
L - Lucky kama ukishinda bingo la Biko, nk.
L - Lubrication yaani Yale mambo yetu ya connection. Si wawaona kina Msechu? Hiyo ndiyo Msoga boys Sasa.
haaa
uko sawaaa kiasi chakeee ujueAu nimesema uongo ndugu yangu?
Hili halina ubishi[emoji1787][emoji1787]apana mm naamin hivoo kwasababu huwez ambiwa na mtu kuwa fanya biashara flan ikiwa huna ata idear nahiyo kituu
Hata m buyu ulianza kama mchicha[emoji1787][emoji1787]apana mm naamin hivoo kwasababu huwez ambiwa na mtu kuwa fanya biashara flan ikiwa huna ata idear nahiyo kituu
magufuli alisema hivi ukuu wa mkoa wilaya wziri uraisi hakuna alie zaliwanao hivio basi nakuteua ukachape kazi kwa nafasi ya ukuu wa wilaya utajua hukohuko nenda[emoji1787][emoji1787]apana mm naamin hivoo kwasababu huwez ambiwa na mtu kuwa fanya biashara flan ikiwa huna ata idear nahiyo kituu
Au wewe ndo yule Steve aliyekua anasajili line na Umughakamimi nilikaa na mwanangu yeye anasajili line akawa anasema ndugu njoo tupige kazi hukuu ela ipo duuu kilichonikutaa [emoji23]siku nzima line ninazo tu
bo sio mimiAu wewe ndo yule Steve aliyekua anasajili line na Umughaka