Jaribu kutafuta tshirt mtumba sijui kwa huko Mbeya wanauzaje ziwe kali plain ukipata V au round kola zenye kimfuko itakua freesh.Usizifue zipige pasi hivo hivo ,size chukua L .Ingia kila chuo hapo Mbeya kila ofisi .Kama utanunua kwa buku 4 uza buku 6.Habari za muda huu wakuu.
Katika hali ya kupambana na maisha, siku chache zilizopita nmepata nafasi ya kuingia jijini Mbeya kwa lengo la kutafuta namna ya kujikwamua kiuchumi.
Hivyo basi naomba kwa Wenyeji wa Mkoa wa Mbeya mnipe mawazo yenu: Biashara gani ninaweza nikaifanya na ikaonesha mafanikio kwa kipindi kifupi? Yaani atleast nikaingiza hata 5000/= kwa siku?
Usisite kutoa wazo lolote lile unalohisi linaweza kuwa na manufaa kwangu.
KARIBUNI
Sawa sawaa.. Ahsante kwa ushauriJaribu kutafuta tshirt mtumba sijui kwa huko Mbeya wanauzaje ziwe kali plain ukipata V au round kola zenye kimfuko itakua freesh.Usizifue zipige pasi hivo hivo ,size chukua L .Ingia kila chuo hapo Mbeya kila ofisi .Kama utanunua kwa buku 4 uza buku 6.
Nenda Chunya makongorosi kajitupe huko!Wakuu msaada wenu tafadhali..
Wanaume wana machaguo mengi sana kuliko wanawake! Basi tuMbeya masikini.
Ondoka huko urudi dar uendeshe hata bodaboda.
Hiyo hela utaiona saa 6 mchana.
Madam hii nchi unayajua machaka yote😂😂Nenda Chunya makongorosi kajitupe huko!
Kuna mgodi..kama akili zako ni za fast hutakosa mishe!kuna fursa gani huko?
Ni nadra jamii kutukubali wanawake tuwabebe bodaboda etc...nahis mna nafasi pana kutuzidi!Kwann unasema hvo mkuu?
Ndio maana inabidi mtusikilize walume ndago! Sio kushupaza shingo, Men will always be Men!Wanaume wana machaguo mengi sana kuliko wanawake! Basi tu