Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Hatari Sana. Namuona Hadi traffic amekinga dumu lake naye anataka atiliwe mafuta🤔Maisha ni magumu wazee,
Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka.
Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka.
Picha inaeleza Mengi.
Source ITV.
Wewe sema uko na ngapi acha uogaNingekuwa na hela haka ka nchi ningekanunua!..😂
Ningekuwa na hela haka ka nchi ningekanunua!..
Anachota ya kuweka kwenye gari lake private,akate mitaa weekend!5000 YA KUBRASH VIATU HAITOSHI ANAZOPATA BARABARANI?
alfu hamsini na senti tano..Wewe sema uko na ngapi acha uoga
Maisha ni magumu wazee,
Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka.
Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka.
Picha inaeleza Mengi.
Source ITV.
Aliyepiga picha hii ana roho mbaya sana,Dada wa watu amekamatwa na huenda akapoteza kazi.Maisha ni magumu wazee,
Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka.
Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka.
Picha inaeleza Mengi.
Source ITV.
Hujawahi kuingia 18 za hawa watu, siku ukiingia hutawahurumia tenaAliyepiga picha hii ana roho mbaya sana,Dada wa watu amekamatwa na huenda akapoteza kazi.
Laana ziwe juu yako mpiga picha iwapo yeye na wanaomtegemea watateseka.
Ningekuwa Rais wa nchi hii,ningemsanehe huyu askari kwani ugumu wa maisha upo hata kwa watumishi wengi wa serikali ukiondoa wale wachache walioruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao ambao kila mwaka CAG anariopoti mabilioni hayajukikani yalipo