francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 516
aisee mpaka nakata tamaaa mkuu
Kama hutojali unaweza tupa mwanga wa fursa gani iliyokuingizia hiyo fedha??I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
zipo ndio ishu pakuanzia ndo shida"Fursa Zipo Ila Mmezikalia." - JPM
Dah... kumbe ni hivi tu...!I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
kweli mkuu maana sio kwa hali hiiiKama hutojali unaweza tupa mwanga wa fursa gani iliyokuingizia hiyo fedha??
Sent using Jamii Forums mobile app
tutafika kwan tunaenda wapi ?life ni gumu aiseee mpaka naacheka mwenyewe yaan, moja haikai mbili haikai nikiangalia sim yangu niingie upande wa contact naona hamna mwenye msaada kwangu naishia tu kufuta majina ivi wandugu tutafika kweli?
Hongera sana, kwa mwaka utatengeneza 150,000,000/=I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
Hongera Sana Mkuu.I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
kwa shangazi yako....tutafika kwan tunaenda wapi ?
aiseeeHongera sana, kwa mwaka utatengeneza 150,000,000/=
Maisha magumu kweli chief...
Ukiona mwanamke anasema maisha magumu ujue magumu kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app