mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kwaiyo anatuseti mkuu et
asante sana mkuuAisee usikate tamaa fanya kazi kwa bidii usizarau kazi,muombe Mungu kwa bidii pia ukipata usipeleke kwenye anasa,usitishike na watu wanaokuambia wanatengeneza 25millions for two months hapa jf ukajiona wewe sikitu amino nakuambia hao ni choka mbaya afadhali wewe ila ni matajiri wakiwa pembeni ya keybody,usiruhusu kabisa hamasa ishuke mkuu pambana.
Duuh, hongera sana. Je hiyo 25M ni profit au?I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
kwani mkuu huwezi kutengeneza laki 416,000 kwa siku?
I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
hahah
6.nataniaI made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
yaan mimi ndo sijui ata kesho itakuaje aisee maana nilikuwa naanza kupik gesi imekata afu sina ata mia mbov yaan afu imekatikia ata msosi haujaiva nikacheka mwenyew yaaanSio mchezo kweli maisha yamekuwa magumu sanaaa! Binafsi kuna wakati nalala, lakini sijui kesho nikiamka nakula nini halafu sometimes anatokea mtu anakwambia, oya vipi wewe unaona lini? Dah hao watu huwa nawaangalia tu, nawaona kama wachawi! Tukija kwenye suala la kufuta namba za simu, sijui ndio kudata kwenyewe yani mimi pia nimefuta namba nyingi za simu hasa hizi za kina Joyce, Mwajuma, sijui nani yani sitaki tena upumbavu hatuwezi kuwa wote wapiga mizinga.
Apo apo penyr shida ndo pakuanzia mdogo wangu.zipo ndio ishu pakuanzia ndo shida
I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
Kwahiyo mzee hukukamilisha kupika jana??yaan mimi ndo sijui ata kesho itakuaje aisee maana nilikuwa naanza kupik gesi imekata afu sina ata mia mbov yaan afu imekatikia ata msosi haujaiva nikacheka mwenyew yaaan
Hongera sana, kwa mwaka utatengeneza 150,000,000/=
Hujui kesho utakula nini lakini unamiliki simu janja na inakuwa imeungwa kifurushi mpaka unakuja humu kuandika.Sio mchezo kweli maisha yamekuwa magumu sanaaa! Binafsi kuna wakati nalala, lakini sijui kesho nikiamka nakula nini halafu sometimes anatokea mtu anakwambia, oya vipi wewe unaona lini? Dah hao watu huwa nawaangalia tu, nawaona kama wachawi! Tukija kwenye suala la kufuta namba za simu, sijui ndio kudata kwenyewe yani mimi pia nimefuta namba nyingi za simu hasa hizi za kina Joyce, Mwajuma, sijui nani yani sitaki tena upumbavu hatuwezi kuwa wote wapiga mizinga.
Punguza jazbaMchumiajuone, kumiliki simu janja wewe umeona ni kitu cha ajabu sana kiasi kwamba inaweza kunifanya nisijue napata wapi pesa ya kula mchana?
Simu janja wanamiliki mpaka mateja, sembuse mimi mwenye akili zangu timamu.
Kuunga kifurushi, au kutokuunga kifurushi sio hoja mkuu huwa najiunga kifurushi cha internet tu cha mwezi, unasemaje? Unataka nijiunge cha masaa 24, au unataka kujua hicho kifurushi ni cha Tsh ngapi?
Usiniambie kuwa hujui faida ya kutumia mitandao ya kijamii, ndio maana hata wewe upo humu, na mimi mwenye hali ngumu nipo najichanganya kimawazo na wenzangu, lakini natafuta fursa.
Labda naona wewe mzee ni mboga saba hujui tafsiri ya hali ngumu. Ulitaka mimi nimiliki nini?
Ulitaka nianze kutembeza bakuli kama wale omba omba, bibi na babu zangu wa pale Kariakoo, hapo ndio uamini kuwa nina hali ngumu?
Kijana usipende kutochokoza watu ambao tunapitia machungu ya maisha, ungekuwa karibu yangu ningekuchapa vibao!