Bado haijauma vizuri.life ni gumu aiseee mpaka naacheka mwenyewe yaan, moja haikai mbili haikai nikiangalia sim yangu niingie upande wa contact naona hamna mwenye msaada kwangu naishia tu kufuta majina ivi wandugu tutafika kweli?
Uliiba wapi?I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
Kama hutojali unaweza tupa mwanga wa fursa gani iliyokuingizia hiyo fedha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Akija kukwambia najitoa JF leo hii
life ni gumu aiseee mpaka naacheka mwenyewe yaan, moja haikai mbili haikai nikiangalia sim yangu niingie upande wa contact naona hamna mwenye msaada kwangu naishia tu kufuta majina ivi wandugu tutafika kweli?
Unawajua watu wote humu? Afadhali ungemuacha atumie hao wanaosema wanatenheneza 25m kama changamoto kumpa moyo kuwa inawezekana kutoka hapo alipo.Aisee usikate tamaa fanya kazi kwa bidii usizarau kazi,muombe Mungu kwa bidii pia ukipata usipeleke kwenye anasa,usitishike na watu wanaokuambia wanatengeneza 25millions for two months hapa jf ukajiona wewe sikitu amino nakuambia hao ni choka mbaya afadhali wewe ila ni matajiri wakiwa pembeni ya keybody,usiruhusu kabisa hamasa ishuke mkuu pambana.
yaan mimi ndo sijui ata kesho itakuaje aisee maana nilikuwa naanza kupik gesi imekata afu sina ata mia mbov yaan afu imekatikia ata msosi haujaiva nikacheka mwenyew yaaan
Watu wengine wanakurupuka tu bila kujua watu tunaishije hizi simu janja wanaona kila mtu kama anamiliki IPhone au Samsung kumbe watu tuna vitecno vya miaka hiyoMchumiajuone, kumiliki simu janja wewe umeona ni kitu cha ajabu sana kiasi kwamba inaweza kunifanya nisijue napata wapi pesa ya kula mchana?
Simu janja wanamiliki mpaka mateja, sembuse mimi mwenye akili zangu timamu.
Kuunga kifurushi, au kutokuunga kifurushi sio hoja mkuu huwa najiunga kifurushi cha internet tu cha mwezi, unasemaje? Unataka nijiunge cha masaa 24, au unataka kujua hicho kifurushi ni cha Tsh ngapi?
Usiniambie kuwa hujui faida ya kutumia mitandao ya kijamii, ndio maana hata wewe upo humu, na mimi mwenye hali ngumu nipo najichanganya kimawazo na wenzangu, lakini natafuta fursa.
Labda naona wewe mzee ni mboga saba hujui tafsiri ya hali ngumu. Ulitaka mimi nimiliki nini?
Ulitaka nianze kutembeza bakuli kama wale omba omba, bibi na babu zangu wa pale Kariakoo, hapo ndio uamini kuwa nina hali ngumu?
Kijana usipende kutochokoza watu ambao tunapitia machungu ya maisha, ungekuwa karibu yangu ningekuchapa vibao!
Mkuu kwanza pole sana..!! Me naomba nikuibie Siri...ulishawahi kujaribu kubet!?? Sikushauri uifanye kuwa kazi yako. Lkn kwa sasa kwa vile huna sehemu maalum ya kukuingizia kipato jaribu kuifanya km burudani. Download app za kubet hapohapo kwenye simu yako. Zipo app ambazo unabet hata Tsh.100. mfano Betpawa. Kubet mfano mpira wa miguu hakuna wizi ni bahati yako. Kwa sababu wachezeshaji hakuna namna ya kuifanya timu ishinde au ifungwe. Na ni mechi ambazo unaweza kuziangalia kupitia hata site zingine.life ni gumu aiseee mpaka naacheka mwenyewe yaan, moja haikai mbili haikai nikiangalia sim yangu niingie upande wa contact naona hamna mwenye msaada kwangu naishia tu kufuta majina ivi wandugu tutafika kweli?
Mchumiajuone, kumiliki simu janja wewe umeona ni kitu cha ajabu sana kiasi kwamba inaweza kunifanya nisijue napata wapi pesa ya kula mchana?
Simu janja wanamiliki mpaka mateja, sembuse mimi mwenye akili zangu timamu.
Kuunga kifurushi, au kutokuunga kifurushi sio hoja mkuu huwa najiunga kifurushi cha internet tu cha mwezi, unasemaje? Unataka nijiunge cha masaa 24, au unataka kujua hicho kifurushi ni cha Tsh ngapi?
Usiniambie kuwa hujui faida ya kutumia mitandao ya kijamii, ndio maana hata wewe upo humu, na mimi mwenye hali ngumu nipo najichanganya kimawazo na wenzangu, lakini natafuta fursa.
Labda naona wewe mzee ni mboga saba hujui tafsiri ya hali ngumu. Ulitaka mimi nimiliki nini?
Ulitaka nianze kutembeza bakuli kama wale omba omba, bibi na babu zangu wa pale Kariakoo, hapo ndio uamini kuwa nina hali ngumu?
Kijana usipende kutochokoza watu ambao tunapitia machungu ya maisha, ungekuwa karibu yangu ningekuchapa vibao![/QUOTE haha ajui tu mkuu mimi apa natumia freebasics natumia jamiiforums bure.
Dah....piga kazi...acha kulialia...mtoto wa kiume wewe [emoji41]life ni gumu aiseee mpaka naacheka mwenyewe yaan, moja haikai mbili haikai nikiangalia sim yangu niingie upande wa contact naona hamna mwenye msaada kwangu naishia tu kufuta majina ivi wandugu tutafika kweli?
Mkuu uliuza bangi?I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahah mkuu umenifanya nacheka kama chizi aiseeMkuu uliuza bangi?
[emoji3][emoji3] atupe mautaalamu maana hali si shwari hata kidogohahahah mkuu umenifanya nacheka kama chizi aisee
I made 25M in two months... Ni swala la :-
1. Kuwa tayari
2. Kuamua
3. KuJikubali
4. Kuwa na connection sahihi
5. Kuhakikisha kila dakika unafanya kitu chenye manufaa kwenye biashara au kiazi yako hiyo uliyowekeza
Sent using Uncesored Device