¿MAISHA NI NINI?

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
850
Reaction score
656
Habari za Saizi WanaJF

Katka Kuchakarka na maisha kuzisaka dinero, Kipindi hiki cha Holy Jiwe ambapo kwa wafanyabiashara wadogo kam mimi zmekuwa mbali sana kuzpata mpaka uwe na visa aisee.
Asa katka kupumzka kdg na shughuli hizi za kelele.Mawazo yakanichukua na kuanza kuwaza

Maisha ni Nn?
Ni Maana ya maisha?

Kila nikiwaza jibu linalo kuja kchwani kuwa Maisha ni PESA.Mpaka sasa napata ukakasi kukubaliana na jibu langu japo kama lina ukweli ivi

Je?Kwa mtazamo wenu wakuu maisha ni Nn?
 
Subiri dk 1 nakuja naenda kunywa maji choon narudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…