Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Za siku mingi bandugu.
Nimeandika uzi huu lengo niwasalimu tu na nijue wangapi walio active.. na ukurasa wetu huu pendwa wenye forums mbalimbali.
Nawasalimu wote.
Maisha yaendelee, usiache kufurahi, kama ni pesa tu ndio zinaweza kukupa furaha nakukumbusha tena hakuna Pesa bila kuteseka/kutaabika na Kazi Ngumu 😁
Kama sio akili yako iteseke sana basi viungo vyako lazima viteseke sanaa.
Lakini yote ya yote tudumu kwa kupendana..
Karibu wote wenye misongo, matatizo, ushauri, kuchoka, kufurahi, kucheka, kulia, kushangaa.
Ni mimi kijana mpole ninaependa ukorofi japo siuwezi sana na kuteseka kumekua kawaida na wanao nitesa ni binadamu wenzangu, nikizungumza hawanisikilizi, nikisema ya kweli hawataki kuamini, nikiomba penzi hawanipi sielewi hata kwanini. 😆
Ni hayo tu.
By Dr. Surya The Preacher