Maisha ni vile wewe umeamua kuishi. Ukisema kuanzia sasa sitavaa nguo ya mtumba mpaka kifo chako itakuwa hivyo

Maisha ni vile wewe umeamua kuishi. Ukisema kuanzia sasa sitavaa nguo ya mtumba mpaka kifo chako itakuwa hivyo

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Jamaa mmoja aliapa kuwa hatakula chakula cha mama nitilie. Alikuwa mfanyakazi mwenye mshahara wa kawaida sana.

Lakini aliweza kula hotelini kipindi chote alipokuwa kazini mpaka alipostaafu kwa hiyari 2017.

Ukijiapiza kuwa kuanzia leo sitatoa sadaka chini ya sh .elfu 10 ndio utaishi hivyo na hutapungukiwa.

Ukijiapiza kuanzia leo daladala na Mimi tutakutana barabarani tu , yes itakuwa hivyo.

Mwanadamu yeyote ndani yake Kuna nguvu, unfortunately wengi tunatumia % chache sana ya ile nguvu ya Kimungu ndani yetu that's why changamoto hazikatiki.

It's just kurise na kudeclare
 
Nilpokua Chuo nilijiapiza sitaki kufanya kazi Ofisi za Wahindi
MATOKEO:
Ajira ya Kwanza. Benki ya Wahindi.
Ajira ya pili Benki ya Wahindi.
Sasa nimetoka.
 
Back
Top Bottom