Maisha ni vita ya wewe dhidi ya wewe

Maisha ni vita ya wewe dhidi ya wewe

SBAKARI

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
355
Reaction score
289
Kujipima maendeleo kupitia wengine inaweza kukudumaza ukarelax hasa pale unapohisi unafanya cha maana kwakuwa tu kuna watu umewazidi, usichofahamu hata kama umewazidi watu kwa maana ya kushindwa kukufikia ulipo halafu wewe uko palepale husogei kimaendeleo, ilhali wao kuna hatua wanaendelea kupiga za maisha yao na kukua inamana huna unalofanya.

Maisha ni ya kwako, jiwekee malengo kisha pigana kuyatimiza, USISHINDANE NA MTU na wala usiumize kichwa kutaka kukimbizana na wengine. Shindana kutimiza ndoto zako, Vita ya maisha ni vita ya wewe dhidi ya wewe.
 
Back
Top Bottom