Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kumekucha kakaπ π πππ€£π€£π05:54 Charles kilian, Fabian Vitus, Aaliyyah, To yeye, Depal, Mvaa Kobazi, amkeni kume kuchaaa
πMna utajiri gani, mpaka muendeele kulalaππ
Kaka nimeamkia magazeti hapaNdo una amka saa hiziππ€£, mpwa wako Depal kaamkia tvππ€£
Yeahhh, taarifa na kuhabarika ni muhimuππ.Kaka nimeamkia magazeti hapa
Niko na Amber the American woman.Dah we kibokoππ€£π€£π€£, haya Endelea kukichafua na wheel of Timeπ
ππTuamke unajua tnalala mda gani Leo hujui siku gani chief05:54 Charles kilian, Fabian Vitus, Aaliyyah, To yeye, Depal, Mvaa Kobazi, amkeni kume kuchaaa
πMna utajiri gani, mpaka muendeele kulalaππ
Mkuu kani yangu ni 24/7 mzee, mpaka meza ipindukee broπͺπͺ.ππTuamke unajua tnalala mda gani Leo hujui siku gani chief
Trust Mee, kasome page 1.Nilikuwa najiuliza huu uzi una nn cha maana
Most of the times una pop juu juu
Kumbe kazi ni kuchat ππ
Mi Niko na scarlet heart- ya wakorea ni π₯π₯π₯Niko na Amber the American woman.
Researcher kama Researcher
Nime kuwa wa mchongo Tenaππ€£π€£Niko poa crush wangu wa mchongoππ
π π πNime kuwa wa mchongo Tenaππ€£π€£
Crush crush crush πππ€πππ π π