Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Naaaam

Ila hili uliloongea "Eti kisa fulani ana kazi au maisha mazuri, una Anza kujiona wewe kama bwege uliye kosa mwelekeo"
Acha tu mtu ujione bwege ,pata wivu upambane vile kwa jitihada zote.
 
Naaaam

Ila hili uliloongea "Eti kisa fulani ana kazi au maisha mazuri, una Anza kujiona wewe kama bwege uliye kosa mwelekeo"
Acha tu mtu ujione bwege ,pata wivu upambane vile kwa jitihada zote.
Niki sema Ina bidi utafakari kapataje, vipi Kama Ali uza Figo ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€.

Niku tag nyingine??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ