Maisha niliyoishi baada ya kuambukizwa UKIMWI na mpenzi wangu

Pole sana na usikate tamaa ukimwi ni ugonjwa wa kawaida zingatia masharti uliopewa,sisi tunapambana na dada etu ambae figo zote mbili zimefeli kufanya kazi .
 
Pole sana mkuu mimi nashukuru nimetoka mgodini sina HIV na nilipiga kavu malaya zaidi ya mara 5 amabaye anajiuza kabisa tena sioo mmoja, sasa hivi niko makini kinga kwanza au tupime
 
Sister angu aligundulika na HIV 2010. Mpaka leo yupo na anakaribia kustaafu. Mie nina tatizo la moyo la hatari kuliko hio HIV. Yaani moyo ni kama kamba ndogo sana ambayo mda wowote inakatika. HIV tatizo kubwa ni magonjwa madogo madogo, kukosa nguvu na kuathirika kisaikolojia lakini matumaini ya kuzeeka yapo kulinganisha na moyo kisukari na kansa.
Tatizo kubwa sana wagonjwa wengi huchoka dawa. Pambana usiache dawa.
 
Never give up broo,siri ya password ya uhai anaijua Mungu pekee,kama issue ya k/koo wamesepa wengi tu tena wenye afya njema bt we unadunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…