Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Ipo siku unayoyapitia na ukayapita kama utojiangamiza ikawa ni shuhuda kwa wengine kutovunjika moyo...pole sana, naelewa unalosema.

Kuna kijana wa kihindi nilipo amejitupa ghorofani cuz ya changamoto za kujitahidi lakini mambo hayaendi, anajitahidi kutuma pesa kwao lakini still wanalalamika pesa anatuma kidogo wakidhani anakula raha kumbe anajinyima hasa.

Mungu akupe mpenyo , na wengineo wanaopitia magumu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…