Kama ulisoma,na masomo hayajakusaidia basi wewe ni moumbavu,...ulivjosomwa ndicho unatakiwa kukifayilia utanishukuru,usije jinyonga ndugu.Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.
Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.
Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Mmmh,Kama kuna niliyemkosea JF naomba msamaha nikienda niende na aman
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.
Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.
Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.
Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.
Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Ataipata tu.Hiyo nguvu ya kunyetuka na madeni aliyonayo anaitoa wapi?
Pole sana rafiki yangu usifanye hivyo maisha ni kama mvua itakunyeshea utalowa chepe chepe lakin utakauka tuKama kuna niliyemkosea JF naomba msamaha nikienda niende na aman
Unataka uachiwe chaja?Subrrrrrrrr
Mkuu nimekuwa huko nimeishi CCM lakn ukwel.mchungu.comrede CCM n chama kizur.lakn viongoz hawana mpango na wananch ukwel.kuna urafi mwingi ambao ninyi vijana ambao mpo.nje wa mfumo.wa.ndan hamuwez.jua.hata kidogo niamin mimi.mkuu.ipo.siku.ukwel.utaujua.Mkuu kuitoa CCM madarakani haitomhakikishia kijana fursa kama huyo kijana mwenyewe hataamua kufungua macho na kuziona fursa. Mimi nimeishi Kenya na Zambia ambako kunatajwa kama sehemu zenye demokrasia ya hali ya juu ila cha kushangaza fursa ni chache kuliko Tanzania. Vijana wa huko wana maisha magumu zaidi. Hawa viongozi wa upinzania wanachopigania ni wao kuingia madarakani na kufakamia keki ya taifa kama ambavyo wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa sasa. Ninakushauri endelea kuiunga mkono CCM na sera zake huku ukipiga vita baadhi ya viongozi wake ambao hukengeuka.
Mkuu mimi niliamua kwa hiari yangu kuwa mwanachama wa kawaida baada ya kugundua wanasiasa baadhi wa CCM na upinzani hawaguswi na lolote kuhusu mwananchi. Nikaona bora tu niwe mwanachama wa kawaida na kusapoti chama mtandaoni na nje ya vikao rasmi. Mabadiliko hayawezi kuletwa na vyama vilivyopo kwa sasa. Labda CCM ivunjike kije chama kingine kipya na sio hawa CHADEMA waliojivika ukondoo kumbe ni mbwa mwitu.Mkuu nimekuwa huko nimeishi CCM lakn ukwel.mchungu.comrede CCM n chama kizur.lakn viongoz hawana mpango na wananch ukwel.kuna urafi mwingi ambao ninyi vijana ambao mpo.nje wa mfumo.wa.ndan hamuwez.jua.hata kidogo niamin mimi.mkuu.ipo.siku.ukwel.utaujua.
Kubadilisha serikal.huleta.uwajibikaj.nd kufanya viongoz wawaze.namna ya kutatua matatizo
Chama.kimoja.kikikaa.kwa.mda.mrefu.madarakani hujimilikisha.dola.na hutumia hila.kubak.madarakan hasa vyombo vya ulinz nasheria.
Kwenye ule Uzi wako wa nyeto nilikwambia vijana wa namna yenu mna mchango mdogo sana katika ujenzi wa taifa ukaniuliza kwa niniMaisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.
Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.
Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Naunga mkono mkono hoja kijana aache upumbavuPole sana rafiki yangu usifanye hivyo maisha ni kama mvua itakunyeshea utalowa chepe chepe lakin utakauka tu
Ndo matatizo sasa yanakuwepo mengi sana lakini huisha tu menyewe kama alinyeshewa mvua anavyokaauka
Nishawahigi kufikia uamuzi wa kufa lakin MUNGU alinikiokoa
Waliojiuwa mpaka mda huu najuta sana hivyo nakuomba usifanye hivyo ndugu yangu, ukifanya hivyo utanikosea sana
Ngoja nikupe mfano Kuna vijana kama akina min -me wanafanya kazi za kutosha vyombo kwa mama ntilie huko posta na hawana kabisa mpango wa kujiua iweje wewe uwaze hivyo
Acha mawazo hayo
Ivi mtu unajiuwaje kisa maisha ambayo hubadirika kila siku watoto wa elf mbili Wana shida sanaNaunga mkono mkono hoja kijana aache upumbavu
Wewe bwabwa unadhani kila mtu humu ana ID kumi za kishogashoga kama zakoID yako nyingine ni ipi? Maana umejiunga May tu hapo.