mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
- Thread starter
-
- #141
Mawazo ya kujiua hayanitok napat faraja kidog ila i feel so depressedJF VAR CHECK
Jana nilikuwa na msongo mkubwa wa mawazo hadi kufikia hatua ya kutaka kujiangamiza. Japokuwa wengi walidhani nilikuwa natania, ukweli ni kwamba nilikuwa serious.
Lakini asanteni sana, kwa kweli mlinifariji. Najua sasa ninaweza kushinda. Death is not a solution.
- mlevi sugu
- Replies: 3
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Mimi pilato nimenawa😊☺️ SITAKI Ushahidi mie.😂😂😂 Dr am 4 real PhD kesi kwako.
Anayetaka kujiua hua hatangazi acha kutafuta kiki kwa issue za kijinga kijana,Mawazo ya kujiua hayanitok napat faraja kidog ila i feel so depressed
Mimi nazani ni masihara tu.japo matatizo ya akili ndipo yanapoanziaga,ila kama ni kweli ni vyema aanze dosage au awafuatilie watu kama nyingi ili mumpatie ushauri nasaha kwa sababu sizani kama ni sawa kuchapisha upumbavu kama huu.Mimi pilato nimenawa😊☺️ SITAKI Ushahidi mie.
Nikikumbuka jamaa alie jirusha kwenye gari semi trailer ubungo kijazii Roho inasisimkaa
Dogo aache UJINGA aseme tatizo lake anaweza PATA msaada humu kuliko kijiua
Ninachotaka kukuambia.Nimejaribu mbinu nyingi ya kujiangamiza ila nashindwa kwa nin sifi niondokee matatizo Kila nikijarib nafel
Sio lazim niwekwe kwa jeneza ata nikizikwa hivyo freshNikupe namba ya muuza majeneza ulipie kabisa?
Siwez sema najua ntakejeliw na kuonwa pumbavuAcha utoto wewe, hii DUNIA INA MAUMIVU NA KATILI SANA EMBU KUWA MUWAZI NINI SHIDA UWEZE KUSAIDIKA KIJANA WANGU.
ACHA MAWAZO YA KUJITOA UHAI
Anayetaka kujiua anaweza kujitangaza kama hivi kama njia ya kutapa tapa ama kutafuta farajaAnayetaka kujiua hua hatangazi acha kutafuta kiki kwa issue za kijinga kijana,
Huu ni uzi wa ngapi unaongelea hii issue?
Unaogopa kukejeliwa ila hauogopi kufa!?hii haiwezekani,kifo ndiyo kipimo Cha mwisho Cha uoga,mtu asiyeogopa kufa hawezi kuogopa kejeli🤔,SEMA UNA SHIDA GANI?UTASAIDIWA KWA HALI NA MALI!Siwez sema najua ntakejeliw na kuonwa pumbavu
Sidhani kama anataka kufa kikatili hivi🤣🤣Mbona simple tu unataka kufa? Upo dar? Kama upo dar beba bango kubwa linalohamasisha maandanamano. Katiza nalo pale magogoni. Rip
Hii ndio sababu watu wenye matatizo , watafungua ID mpya ili wapost au wataamua kukaa kimya.Anayetaka kujiua anaweza kujitangaza kama hivi kama njia ya kutapa tapa ama kutafuta faraja
Mpauko na yeye alianza hivi hivi baadae tukampoteza
Huyu kama anatafuta kiki ni yeye anajua zaidi,cha muhimu hatuombi hela