Maisha Plus: Mbona hawasikiki?

Maisha Plus: Mbona hawasikiki?

Masaningala

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
543
Reaction score
199
Waheshimiwa, kwa yeyote mwenye habari, ninaomba kujua wale jamaa walioanzisha Maisha Plus mbona hawasikiki tena kuendeleza walichokianzisha kwa faida ya vijana wetu kuexperience maisha ya vijijini? Je program hiyo bado inaendelea? Je, Kwa wale walioshinda katika vipindi viwili vya maisha plus, michango yao kwa vijana wenzao wa kitanzania ikoje?
 
Back
Top Bottom