mgange hussein
Senior Member
- Sep 10, 2012
- 159
- 43
Nimeangalia katika TBC wasichana wanalazimishwa kuinua gogo zito,hatimae likawashinda na hatimae kumuangukia mmoja na kupoteza fahamu na kupotezea kipindi hewani na kuweka matangazo mengine.Haijulikani ameathirika kiasi gani.Wajaribu kuangalia kazi au mazoezi ya kuwapa hata kama mshindi anapewa Mil 20

Equal opprtunities for all. Kwa nini iwepo tofauti ili hali kila siku wanadai usawa.Upuuzi, wanafanya nini huko. Hiyo ni JKT au ni nini. Njaa zitatuua
nakumbuka olevel gals walidai haki sawa wanaume tukawa tunadeki darasa one day kazi ya kushusha magunia na kuyapanga stoo wanaume wakapiga nusu wakawasusia mademu loooh kilinukaje ila ndo hivyo tukashinda maana maticha waliwapa support mwanzoni.. pole zake aliyeumiaHAKI SAWA KWA WOTE!!! Si ndio msemo wa kila siku, Kwamba hakuna kazi ya Mwanamke wala Mwanaume?