Maisha plus-ni zaidi ya kipindi

mujungu

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
143
Reaction score
55
nimeangalia usaili wa maisha plus leo husiku , kwa kweli inatisha na kusikitisha. Ongera sana kipanya kutuonyesha jamii yetu inaelekea wapi.

Kama mtu anashindwa kujua afrika mashariki in inchi ngapi, sisi tunaishi ndani au nje ya dunia na mengineyo hii ni hatari. Kama ujaangalia , tafuta muda uangalie. Naomba kipanya aweke huo usaili kwenye youtube. Nawasilisha.
 
Mambo yote "lactogen"
nimeburudika kimtindo.
 
Kinaonyeshwa saa ngapi na katika TV stesheni gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…