MAISHA PLUS

Alkarima

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
223
Reaction score
173
Wakuu salama

Naangalia hapa maisha plus, ninacho kiona hapa upeo wa vijana wa kiTanzania ni mgodo kuliko wa vijana kutoka nchi zingine.
Wanashindwa kabisa kujieleza, wanaulizwa nani angemchagua au kumpendekeza kuwa mshindi wa maisha plus kama yeye asinge kuwa mshiriki lakini wengi wao wanasema angeshinda mwenyewe wakati huo huo amebiwa achukulie sio mshiriki.

Tuna safari ndefu sana kujenga vijana wetu
 
Ivi icho kipindi ni muda gani wanaonesha na ni siku zipi bro ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…