Maisha ughaibuni

Maisha ughaibuni

Hiyo Nyaraka nimeisoma ila sijailewa.

Ila Maisha sio ya ulaya tuu hata Bongo ni Game of chance . You can either win or learn.
That's life bro.

Bongo ukiwa na Good connection mambo yako yankuwa shikopa.
 
Jamaa kaishi nje karibia miaka kumi ila amedeclare bankruptcy anasema anamadeni ya zaidi ya milioni mia moja na hana assets wala kazi ya kulipa.
 
Hii si document ya mtu ya siri!!

Jamaa ametanganza amefilisika....[emoji23][emoji23]kwani kufilisika si unafilisika popote Duniani.
 
Nikweli kbs kufilisika nipopote tu,lkn jamaa ame amua kumtangaza kbs hhhh......wabongo hhh
Hii si document ya mtu ya siri!!

Jamaa ametanganza amefilisika....[emoji23][emoji23]kwani kufilisika si unafilisika popote Duniani.
 
Hivi tangu lini maskini akafilisika?? atafirisika nini sasa???? kufirisika kwa tajiri ni umillionair wa maskin acha kabisa!!...tunao firisika ni sisi matajiri wenye ukwasi!! yaani nihela tu itaisha kwenye mzunguko wangu!! lkn mighorofa yangu iko palepale!!!

AKILi ya utafutaji iko palepale!! connection zangu ziko palepale sasa nini
 
Back
Top Bottom