Maisha hayana maana kweli isipokua katika kuishi kwa haki tuHabari wanaJF?,
Kuna siku utanielewa kwamba vyote tulivyokuwa navyo ni kwajili ya kujifariji na kuyapa maana maisha .
Kwanzia magari,nyumba ,Mke na watoto.
Siku vitu hivi ukivipoteza unakosa maana ya maisha kabisa.
Ni sababu zipi ambayo zinakufanya mpaka saivi haujajiua?
(Nikawa na maana kifo sio kibaya kwa anayekufa Bali kwa wanao baki)
Wewe kwanza ndio mfano hai wa maisha hayana maanaMaisha hayana maana kweli isipokua katika kuishi kwa haki tu
Habari wanaJF?,
Kuna siku utanielewa kwamba vyote tulivyokuwa navyo ni kwajili ya kujifariji na kuyapa maana maisha .
Kwanzia magari,nyumba ,Mke na watoto.
Siku vitu hivi ukivipoteza unakosa maana ya maisha kabisa.
Ni sababu zipi ambayo zinakufanya mpaka saivi haujajiua?
(Nikawa na maana kifo sio kibaya kwa anayekufa Bali kwa wanao baki)
FafanuaWewe kwanza ndio mfano hai wa maisha hayana maana