Maisha Vs Muda,...Unatosha?!

Haya BaK na Klorokwin hapa mwadhihirisha kuwa urafiki wenu si wa mnafiki feri, kubeba wanyama, magari na binaadamu yeye..............mwamtakia kheri Mbu nami naungana nanyi!! Inshallawh!

Mbu tenda ya maakuli ya arusi si utanipa mie eh?!
 
...........Hahahahah BaK amini hata siijui rangi ya karatasi zake hiyo mitihani but watu wanavyolia ah!! mie ctamani hata kidogo!! niacheni na ungwini wangu!!

hehehe hapo red naomba mkuu BAK anitafsirie.

......................Hahahha ningeshangaa sana kama motokari hii ingekupita Klorokwin weye.!!!
 
lol!....mwj1 hujanisoma tu ewe mupenzi? mwenzio mie mwanafunzi mno kwenye uwanja wa mapenzi, ndio nimo kwenye kujifunza hapa.

Huenda najichongea kwa kuamini yabidi kufuata vision, badala ya dreams kwenye relationships.
Kiukweli, binafsi hujiuliza mara kwa mara apart ya kuzaa watoto, kupendana, kusaidiana, etc, ndoa pia si inahusisha
clearly defined visions and goals? au?...

Kama jibu ni HAPANA, nitakuwa nimepata jibu kwanini I used to take marriages too seriously mwishowe naishia kujipangusa vumbi. I wish kungekuwa kuna darasa la mambo haya, aarrrghhh,...mwenzenu nahitaji kusoma zaidi.

Anyway, kuna jamaa wanasema "dont take life too seriously, you will never get out alive anyway!"...
 
hapa nimekuelewa best...............
 
Reactions: Mbu

Wallahi kweli inabidi kwenye dua zangu niweke ombi hilo kwa rabbana niache kilema cha kuhesabu muda bana, lol!...
presha za kujitakia zitaja ni cost maisha yangu na moyo wenyewe ulojaa matobo huu mnh!...

Mwj1, Klorokwini, na kaka BaK...nimewasikia nitajirekebisha Inshaallah.
khaa, 'Soulmate' sijawasiliana nae muda sasa...sijui keshanuna huko aliko?
Muda umenipita kwa distractions za JF!

Will be back after commercial break....
 
ha ha ha eeenh?
"Gari langu naliweka tinted, nitawaona lakini wao hawanioni ".
Sjui mmenielewa wajameni?
samahanini sitofafanua zaidi.

Shem.........unajua kwa nini wachaga wanafanikiwa kibiashara? Bwana Arusi akiwa anaoa atahakikisha 70% ya gharama za arusi zinarudi kwake......
1. Gari atakodisha la kwake!! (Ili mradi si pick up)
2. Chakula anatoa tenda kwa mkewe mtarajiwa (Kwa kesi hii ......... )
3. Ukumbi atapeleka kwenye Baa yake ya Massawee
4. Anatamani angekuwa na ujuzi wa kutengeneza biya.....angeichukua tena hiyo!!

Karibu shemeji yangu! Unatumia kinywaji gani?
 
Dah! nilitegemea hautonielewa kwavile nilikusudia usinielewe lakini nashangaa umenielewa na sasa najiuliza zaidi ilikuwaje ukanielewa?
naomba togwa la mtama!
 
Reactions: Mbu

Wallahi kweli inabidi kwenye dua zangu niweke ombi hilo kwa rabbana niache kilema cha kuhesabu muda bana, lol!...
presha za kujitakia zitaja ni cost maisha yangu na moyo wenyewe ulojaa matobo huu mnh!...

Take it easy sweetheart, we were just pulling your legs baby.

Mwj1, Klorokwini, na kaka BaK...nimewasikia nitajirekebisha Inshaallah.
khaa, 'Soulmate' sijawasiliana nae muda sasa...sijui keshanuna huko aliko?
Muda umenipita kwa distractions za JF!

Will be back after commercial break....

............Kuna ulichokosa hapa eh? ah haya bwana jitihada zangu zoote kujitia 'mjuaji' nikuwin bado nakamata namba mbili!!
Tamaa sikati, sijachoka kusubiri
 
hahaha lol commercial break sio?, I hope MJ1 hii pia hatoita principle? MJ1 bana
 
Asante Mbu kwa mada nzuri mhh mie imenibidi niandike barua ya kuacha kazi maana imenibana vilivyoo nakosa hata muda wa mambo mengine, liwalo na liwe....
 
Reactions: Mbu
hahaha lol commercial break sio?, I hope MJ1 hii pia hatoita principle? MJ1 bana
Hahahahhahah amani nshanunua kesi siyo............we Mbu after Commercial Break urudi bana ah!!
Hii C.B mie nimeitafsiri kivingine .....ah am I too predictable?? Nkisikia C.B basi najiandaa!! loh Klorokwin naomba nikutafute kwa wakati wangu bana ah..............
 
hehehehhe commercial break ya Mbu iko kwenye wheel of life bana, mbona unataka kuparaganya ratiba? inawezekana hapo alipo ni saa tano sasa.
Ukinitafuta ukuje peke yako usikuje na Mbu. No harm intended but Lawyer's privacy is always privledged.
 
Reactions: Mbu
Asante Mbu kwa mada nzuri mhh mie imenibidi niandike barua ya kuacha kazi maana imenibana vilivyoo nakosa hata muda wa mambo mengine, liwalo na liwe....

MR......sasa huoni kama wheel yako itakuwa na vipara? yale meno ya Career na Finances utayajazia vije mprnzi wangu??
Pole
Nilidhani "Funika kombe, klorokwini na BAK wapite" kumbe ni mipango ya bajeti tu. lol

Ah...............Shemeji, mtu mzima adanganywa kwa pipi?!! Sijapataona mie!
 
hehehehhe commercial break ya Mbu iko kwenye wheel of life bana, mbona unataka kuparaganya ratiba? inawezekana hapo alipo ni saa tano sasa.
Ukinitafuta ukuje peke yako usikuje na Mbu. No harm intended but Lawyer's privacy is always privledged.

Oh owkeyy!!.......................
 
Take it easy sweetheart, we were just pulling your legs baby.

............Kuna ulichokosa hapa eh? ah haya bwana jitihada zangu zoote kujitia 'mjuaji' nikuwin bado nakamata namba mbili!!
Tamaa sikati, sijachoka kusubiri

...lol...! ama kwa hakika kila nilichojaribu kuandika nimefuta....angalia kidoleni, pete ipo?
kama bado yang'ara, jijue weye ndiwe 1st lady!

hahaha lol commercial break sio?, I hope MJ1 hii pia hatoita principle? MJ1 bana

...pheeewwww!?....yaani kila nitachotamka sasa nitaambiwa na GUBU?...LOH,...ishakuwa shughuli.
Mwj1 huyu kaka-mshenga aweza kabisa nifanya nisiwe nashinda nyumbani kukimbia nisikuudhi!

Asante Mbu kwa mada nzuri mhh mie imenibidi niandike barua ya kuacha kazi maana imenibana vilivyoo nakosa hata muda wa mambo mengine, liwalo na liwe....

lahaula!!!! nini???? lol....masjala keshaipokea hiyo barua? usiipeleke kwanza bana,
kamata tawi kabla hujaachia tawi, hii recession imekuwa nongwa siku hizi...ajira za tabu!
Taratibuni kwenye maamuzi yenu jamani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…