Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
mfano?
MR......sasa huoni kama wheel yako itakuwa na vipara? yale meno ya Career na Finances utayajazia vije mprnzi wangu??
Pole
Hahahahhahah amani nshanunua kesi siyo............we Mbu after Commercial Break urudi bana ah!!
Hii C.B mie nimeitafsiri kivingine .....ah am I too predictable?? Nkisikia C.B basi najiandaa!! loh Klorokwin naomba nikutafute kwa wakati wangu bana ah..............
hehehehhe commercial break ya Mbu iko kwenye wheel of life bana, mbona unataka kuparaganya ratiba? inawezekana hapo alipo ni saa tano sasa.
Ukinitafuta ukuje peke yako usikuje na Mbu. No harm intended but Lawyer's privacy is always privledged.
Dah! kama hata hiyo haipatikani basi kweli unahitaji kuacha kazi.Starehe ya dunia :biggrin1:
Dah! kama hata hiyo haipatikani basi kweli unahitaji kuacha kazi.
[/COLOR]
kuna maneno sijayaona hapo, haki ya mungu vile ninaapa sijaona hata neno moja...lol!
Halaf kila ukizeeka ile starehe nayo inapungua kautamu. Mimi uzee haunikeri bana kinachonikera ni perfomance kupungua.Hehhe bora umeona haha umri haurudi nyuma lolz 😛ound:
Halaf kila ukizeeka ile starehe nayo inapungua kautamu. Mimi uzee haunikeri bana kinachonikera ni perfomance kupungua.
Halaf Maria roza una kampeni za kuipeleka hii sredi jukwaani kwako nini?
hhhahhaaa hhaaa!...hivi wewe klorokwini, ...hakiyaaaa!!!!! sipata ona mutu kama wewe! ...LOL....
Klorokwin hebu tupange miadi maana with this statement nasikia harufu ya 'Rukhsa tu La Aziz' kamwone tu ukimaliza njulishe mie ntajakupick!! loh
Hana wivu kabisa Mbu.............the rare man specie on earth!!
Usijali Mbu anachapa na kuuma saa tano za usiku tu (reference: wheel of life yake). enhee wheel of life yako ikoje?Naona mbu atanichapa kama sio kuniuma nikaja kuomba dawa kwako :biggrin1:
Klorokwin hebu tupange miadi maana with this statement nasikia harufu ya 'Rukhsa tu La Aziz' kamwone tu ukimaliza njulishe mie ntajakupick!! loh
Hana wivu kabisa Mbu.............the rare man specie on earth!!heheheeh dah! nimejikuta nacheka kwa loud speaker aisee! hakyababu MJ1 anahitaji traffic light. lol
haahahahahah Bana ulale salama Shemeji yangu mie eh aksante umenisaidia kushtua ule mshipa unaohifadhi aibu za kike mwe........mieheheheeh dah! nimejikuta nacheka kwa loud speaker aisee! hakyababu MJ1 anahitaji traffic light. lol
Naona mbu atanichapa kama sio kuniuma nikaja kuomba dawa kwako :biggrin1:Usijali Mbu anachapa na kuuma saa tano za usiku tu (reference: wheel of life yake). enhee wheel of life yako ikoje?
....mbu is whistling!....nawaza nikiwazua jinsi ya ku improve 340 gr SSK bullet toka Muzzle velocities ya 1000 feet per second mpaka 3000 fts/sec. Au sijui nibadilishe hii Colt .45?
Sijasoma chochote mlichoandika hapo.
haahahahahah Bana ulale salama Shemeji yangu mie eh aksante umenisaidia kushtua ule mshipa unaohifadhi aibu za kike mwe........mie
uilishakatikaga kitambo!!
Usiku mwema Klorokwin.....uniote eh (the seal is not sealed bado)!!!
Mbu wala nini leo mydia........au ndo wheel of laifu eh?
Ahmaah!! Mara wangeuka best?? loh Nshakuwa mchokozi mie!!
Hahahah Mbu eh hebu kuja bana you know me loves you sana bana........but its gud to get this straight before hand.........sio vema kuendesha maisha kama unafanya mitihani ya CPA bana!!
(Mie leo sijui kama Mbu hajantema !!)
Unaona sasa.........tatizo la Wheel of life haiifunui ile section ya relationship and romance: Haisemi ni kunurture au kuestablish!! Ingeelezea kinagaubaga hata zile 'simple but powerful' weapons za kuprotect na kusecure penzi............. Mbu one kiss just one tender kiss will do the magic
Kisi moja tu ya mapenzi, itaokoa hahha bana eh kwa heri na kama ndo nimekuharibia shauri yako..kwan shing ngapi??
Vita vya panzi nafuu ya kunguuru..............mkitaka kupigana na Soulmate niite kwanza nichore mstari wa kati au nichote mchanga wa kuputa! lol