Maisha ya camera man

Maisha ya camera man

Syston

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
243
Reaction score
351
Zamani mtu akipiga picha anaomba Negatives ( Ilizoeleka nega) na ana albam ya picha nyumbani, siku hizi mtu akipiga picha anaomba camera man amtumie WhatsApp na ana albam ya picha google photo , Tunakoenda camera man mjiandae maana utampiga mtu picha afu ataomba aondoke na Camera kabisa.
 
Hahhahaa alafu zamani ndo walikua wanatupangia jinsi ya kusimama hadi baba zetu wanapangwa
 
Kwasababu walikuwa wanatumia mikanda ivyo mkanda unapicha 32( kama sijakosea) inamaana kila moja ni ela so akikosea ni hasara yan one shoot picha unasubiri wiki maana ni mpaka mkanda uishe ndio akasafishe.....Pengine itamlazim kusafir kuzifata studio
 
Back
Top Bottom