Perception za watu znatofautiana kwendana na mazingira na jinsi wanavyopokea na kutafsiri vitu mbalimbali vnavyotokea katika maisha yao es. Mfano kama mhusika alikuwa na coursework nzr na alijiandaa vzur na final exam anaweza kujishangaa sana kwa kuwa na supplimentary. Hapa itabidi afanye self analysis lakin pamoja kuangalia factors nyingine kama mahusiano alyokuwa nayo na mwalim husika. Ila kwa mtu ambaye anajua kbs alikuwa na poor course work na hakuwa na maandaliz mazur anaweza akaichkulia kawaida ila ikawa ni challenge kwake kusoma zaidi il atoke.