DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hiyo Tv ni kwa ajiri ya Kuangalia vipindi gani? Skonga,taarifa ya habari au ziara za Rais??Ukifika chuo ishi Maisha yako hata Kama watu watakuonaje we ishi Maisha yako tu
Hilo boom unabidi ulitumie vizuri ili ukitoka chuo utoke na mtaji.
Mwaka 1 wa chuo unabidi uwe na gheto na kila kitu Kama kijana anayejitambua
Godoro
Kitanda
Sabufa
Tv
Feni
Gas n.k
Mwaka wa pili save pesa upate hata laki tano ya mtaji .
Ajira hamna sasa hivi hivyo unabidi kujitenga na starehe za kipumbavu ukiwa chuo hasa nyie mnaotoka vijijini na kuja katika miji mikubwa mnakuaga wapumbavu Sana so take care
The struggle is real
Watakuja kukuelewa wakishamaliza chuo,, sasa hv hawawez kukuelew..Wenye Akili tu ndy watakao kuelew sasa hiv.Ukifika chuo ishi Maisha yako hata Kama watu watakuonaje we ishi Maisha yako tu
Hilo boom unabidi ulitumie vizuri ili ukitoka chuo utoke na mtaji.
Ajira hamna sasa hivi hivyo unabidi kujitenga na starehe za kipumbavu ukiwa chuo hasa nyie mnaotoka vijijini na kuja katika miji mikubwa mnakuaga wapumbavu Sana so take care
The struggle is real
Wakumbushe pia dada zetu,maana hawa ni wahanga zaidi.kutaka maisha ya mashindano halafu uwezo wa kifamilia kifedha ni mdogo.Wataishia kudharirishwa sana.maana wapo wanaongojea uishiwe halafu ufanywe kwa hiayari yako kitu ambacho hukipendi kabisaUkifika chuo ishi Maisha yako hata Kama watu watakuonaje we ishi Maisha yako tu