chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Na huu ndio uhalisia, ndiosababu kote Kuna matajiri na maskini.issue ni connection
unafanikiwa ukiwa wapi
Kilimo gani hicho kisichohitaji mtaji? Ambacho asie na mtaji anaweza akafanya?Kwa mtu asiyekuwa na mtaji Shamba Kunamfaa kwani Kuna fulsa nyingi za kuanza nazo.
Kwa mwenye mtaji Dar panamfaa kukuza mtaji wake kwa haraka.
Yote hayo yanatemea hiari ya mtu.
Kuna wengine hawezi kuishi Shamba au Mjini katika na kufanya harakati zao.
Kuna watu wa Mjini tu.
Mi sijataja kilimo.Kilimo gani hicho kisichohitaji mtaji? Ambacho asie na mtaji anaweza akafanya?
Mkuu nimefika Dar mwaka jana mwishoni! Ukweli usemwe, hapa sitoki, nastaafia hapa hapa hata iweje! Dar fursa kibao ni wewe tu!! Nilikuwaga sijui kama Dar wanafakamia hivyo kuku wa kisasa! Niikuwaga sijui kama nyama ya ng'ombe Dar inauzwa 10k kwa kilo tena ile ya daraja la chini kabisa!!Kwema wakuu,
Hasa kwetu sisi vijana ambao bado tunatafuta, we unaona wapi bora kati ya dar es salaam na mikoani.
Karibu