eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Kwan alizaliwa mjini? katokea shamba na nimkulimaPesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Mkuu huenda hako `` kaushamba``` ndo kana mafanya awe na helaPesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Mkulima mzuri haswa namuona pale chimala.Kwan alizaliwa mjini? katokea shamba na nimkulima
Inawezekana kabisa ila usijaribu kuiga kaushamba kakeMkuu huenda hako `` kaushamba``` ndo kana mafanya awe na hela
Joti anamkataba wake mnono mtandao wa tigoMkulima mzuri haswa namuona pale chimala.
Pesa haiangalii sura.joti anaendelea kuvaa magauni yake hao wengine sijui wapo wapi
Siyo kweli, acha ukabila.Ni nani anaefanya kazi EATV au hata IPP akatusua kimaisha ??
- Kufanya kazi kwa mchagga ni sawa tu na kufanya kazi kwa mhindi, ni DHULMA Mwanzo mwisho
Asante kwa taarifa ila waache kumvalisha magauniJoti anamkataba wake mnono mtandao wa tigo